Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Unaposema kwamba Liverpool atakabidhiwa kombe, hapo speculatiin yako haina defamation. Haiichafui heshima ya Liverpool.Hapa sisemi kuwa 100% ataongeza muda wake baada ya 2025, ninachosema ni kuwa uwezekano huo upo, ni na ni mkubwa kuliko awamu nyingine, sababu ya anayoyafanya sasa. Hii sio fact, ni speculation, na ku speculate kwani ni kosa?
Ni kama unavyosema kutokana na Liverpool anavyocheza sasa hivi May 2020 ndio atakayekabidhiwa kombe.
Unapo speculate kwamba fulani ataiba mwaka 2025, bila ushahidi, umemuwekea mtu mwenzako ushuhuda wa uongo kuhusu kitu kibaya.
Ni vizuri tuwe na tahadhari kuhusu wanasiasa, wote tu.
Ni vibaya kuwazushia madai specific ambayo hatuna ushahidi nayo.
Mimi sipendi kuzushiwa makosa ya uongo ambayo sijayafanya na nimesema sitayafanya.
Kama mimi nisivyopwnda kufanyiwa hilo, sipendi kufanya kwa wengine. Wakiwamo wanasiasa.
Fanya kama unavyotaka kufanyiwa.
Magufuli ana makosa mengibsana aliyoyafanya tayari. Hatuna ukame wa makosa ya Magufuli. Amepiga marufuku mikutano ya kisiasa, inayoruhusiwa na katiba.
Kwa nini watu hawamvalii njuga katika hili ambalo kashafanya, wanamtungia makosa atakayofanya mwaka 2025?
Sent using Jamii Forums mobile app