Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Mzee watu ambao ni walafi wa madaraka hutumia kauli kama za magufuli ili ku fool watuYani hata kama nimekosea kuona Magufuli amechoka, tuseme nimekosea hilo.
Tuseme mara zote Magufuli anaposema hakuitaka kazi (kaona maji marefu, kazi nzito (hakujiandaa), tumuombee (anahitaji divine intervention), anatamani angekuwa IGP (anatamani wengine wangekuwa juu yake wanampa amri badala ya yeye kuongoza nchi) etc, hajachoka.
Tuseme Magufuli ana uwezo sana wa kuwa rais, ndiye rais mwenye uwezo kuliko marais wote waliompita na ana tamaa sana ya kuendelea kuwa rais hata baada ya 2025.
Huko kote nakuruhusu wewe uwe sawa, mimi ndiye niwe nimekosea.
Baada ya yote hayo.
Hoja ya msingi zaidi ni kwamba, hatutakiwi kumhukumu mtu kwa kosa ambalo hajalifanya, na kakana kutaka kulifanya, tunasema atalifanya mwaka 2025.
Twende kwa facts, si kwa speculations.
Tukianza kwenda kwa speculations, yeyote anaweza kutunga lolote kuhusu yeyote mwingine na kumbambikia kesi.
Nitasema wewe unataka kuniibia mwaka 2025.Tukufunge.
Itakuwa sawa hiyo?
Ni kama anavyosema maendeleo hayana chama kila mara, huku akionyesha ubaguzi wa kivyama bila aibu kuliko hata Kikwete ambaye alikuwa hasemi hilo
Ila tuliache hili kama ulivyosema
Hii sio mahakama, hatujamkumu kumpa adhabu kwa kuwazia tu, bali watu wana wasiwasi kutokana na mwenendo wake wa sasa
Ni kama mtu aseme uchuguzi wa 2020 serikali itahujumu wapinzani kuliko ilivyowahi kutokea, sababu amecheki yakiyotokea 2019 uchaguzi wa mitaa, huyu utasema hafanyi fair sababu anaihukumu serikali kwa kosa ambalo haijalitenda?