hata mimi nina mashaka makubwa na kauli ya bwana mkubwa, sioni dalili. he is just fooling you
Ila huu uzi wako nahao akina kagashekii wako inaonekana ulikuwa fisadi sana! Kwahiyo hapa unapumulia matakoni kuitafta 2025, sasa mzee baada ya magufuri anakuja kabudi, nazanzibar wakati huo atakuwa mwinyi huseni. Safari hii mtaisha tuNilishawahi Kuambia, huu ufalme umeumiza watu wengi sana...kuanzia walosingiziwa wauzaji wa madawa , watu kutekwa, kuuliwa n.k
Haya yote yanawafanya wanaomzunguka jamaa wakoswe namna ya kufanya, nandio maana kila mtego wanaomtegemea nayeye ananasika kirahisi, anaingia mzimazima, mwisho nayeye anahesabiwa kama wao
Sasa nini wafanye ?????..
1---Kuendelea kulazimisha nakutafuta namna ambayo jamaa aendelee kua madarakani .
2---anayekuja awe pia nimtu walompika wao kisawasawa kiasi kwamba ataendelea kuwapigania...MF...MTU km H.Mwinyi
Nahii inafanya UGUMU MKUBWA KWA UPINZANI KUCHUKUA NCHI HII KWA KURA ZA MAKARATASI ..
Siunaona kuanzia majeshi na vyombo vyote jamaa kavi compromise?
Hivi huyu kagasheki anadhani ya kwake hatuyajui? Muda woote mtandaoni! Yeye na Zito ni sawa japo kavaa koti la kijani! Hawa ndo mafisadi wa underground enzi kwa enzi wamejaa udini, unyonyaji na watetezi wa mabeberuKagasheki nae atulie wametuibia sana kipindi chao, wakiendelea fyoko fyoko tutayafukua makaburi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli Kabudi anafaa kuvaa viatu vya JPM!Ila huu uzi wako nahao akina kagashekii wako inaonekana ulikuwa fisadi sana! Kwahiyo hapa unapumulia matakoni kuitafta 2025, sasa mzee baada ya magufuri anakuja kabudi, nazanzibar wakati huo atakuwa mwinyi huseni. Safari hii mtaisha tu
Hivi huyu kagasheki anadhani ya kwake hatuyajui? Muda woote mtandaoni! Yeye na Zito ni sawa japo kavaa koti la kijani! Hawa ndo mafisadi wa underground enzi kwa enzi wamejaa udini, unyonyaji na watetezi wa mabeberu