KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Unamsahau Museveni. Kabadili hadi ukomo wa umri wa kubaki kwenye madaraka.Ni ujumbe unaoonekana wa kawaida kabisa kutoka kwa Dr Kagasheki. But timing yake inaufanya ujumbe huu ubebe uzito mkubwa sana.
Ni ujumbe kwa Watanzania kuwa tusiamini kila kitu kitokacho vinywani mwa wanasiasa.
"Tafakarini kwa makini Watanzania" that seems to be the bold message from this distinguished doplomat.
Hapana... Yani kwangu ni hapana...Kwakweli Kabudi anafaa kuvaa viatu vya JPM!
Mtu anamfananisha Magufuli ambaye kaingia urais kwa kuchaguliwa na watu na Kagame au Museveni ambaye kaingia kuwa rais kwa mtutu.Tz na kenya zina mazingira tofauti sana kisiasa na nchi za rwanda,,burundi na uganda na hii ipo kwenye nguvu ya vyama vya siasa na si mtu mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
"Nguvu ya vyama"? Vyama gani!Tz na kenya zina mazingira tofauti sana kisiasa na nchi za rwanda,,burundi na uganda na hii ipo kwenye nguvu ya vyama vya siasa na si mtu mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
I hardly believe the entire posting is from you!Kama hawamkubali Magufuli, kwa nini wasipigw kampeni aondolewe 2020?
Ni kitu kibaya sana kumhukumu mtubkabla hajatenda kosa.
Ni uj8nga kumhukumu mtu mwenye makosa mengi, kwa kuacha makosa aliyoyatenda, na kutumia makosa mnayofikiri atayatenda.
Mimi si mtetezi wa Magufuli. La hasha. Nimemsema sana hapa.
Lakini, katika hili la twrm limits, aneaema hatavunja katiba. Haikuwa lazima aseme hilo, lakini amesema.
Kumzonga kwa hilo, ni kukosa heshima, kukisa adabu, kukisa umakini na kukosa hoja.
Kwa sababu, kila siku Magufuki anafanya makosa. Kwa maneno na matendo.
Amefanya makosa makubwa mengi. Kuanzia kuapisha watu kuwa mawaziri kabla hawajaapishwa ubunge mpaka kukataza m8kutano ya hadhara ya kisiasa inayoruhusiwa na katiba.
Kuanzia kusema atapiga mpaka shangazi za wapinzani mpaka kuingikia biashara ya korosho na kuangusha mapato ya bidhaa za kilimo kwa asilimia 55 ndani ya mwaka mmoja.
Sasa mtu ambaye akifungua mdomo tu inatoka harufu ya ujinga, kwa nini mnamhukumu kwa makosa ambayo atayafanya 2025, wakati kuna makosa mengi kafanya ndani ya miaka minne iliyopita?
Mnawapa msemo wanaosema wapinzani wa Magufuli wanapinga tu, bila hoja.
Ukizushiwa jwamba utaiba mwaka 2025 na kuhukumiwa kwa kisa hilo ambalo hujalifanya bado, utaona hilo ni sawa?
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.
Kingine, wapinzani wa Magufuki wanapoongelea kwamba atavunja katiba na kuendelea kuwa rais baada ya term limits kuisha, hilo lina maana kwamba 2020 wameshakubali Magufuli atashinda?
Kama hawamkubali Magufuli, kwa nini wasipigw kampeni aondolewe 2020?
Ukilalamikia uchaguzi wa 2025 wakati wa 2020 hatujafanya, ni kama umekubali tayari Magufuli kashinda 2020.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi tatizo langu ni hii dhana nzima ya kumhukumu mtu kabla hajafanya kosa."Nguvu ya vyama"? Vyama gani!
CCM sasa hivi ni mali ya mtu mmoja, atakachoamua ndicho kinachofanyika, lakini wewe bado unaota 'nguvu ya vyama'?
Kenya kuna vyama gani vyenye nguvu..., KANU ilikufa na Moi, Uhuru kajiundia Jubilee ili awe madarakani. Ruto atakapotoswa hutaiona tena Jubilee.
Raila na ODM, hebu kahesabu vyama anavyounda kila panapokaribia kuwa na chaguzi! Hizo ndizo "Nguvu za Vyama"?
Naona huelewi unachoandika hapa!
wandugu, tusiwe naive.Ni kitu kibaya sana kumhukumu mtubkabla hajatenda kosa.
Ni uj8nga kumhukumu mtu mwenye makosa mengi, kwa kuacha makosa aliyoyatenda, na kutumia makosa mnayofikiri atayatenda.
Mimi si mtetezi wa Magufuli. La hasha. Nimemsema sana hapa.
Lakini, katika hili la twrm limits, aneaema hatavunja katiba. Haikuwa lazima aseme hilo, lakini amesema.
Kumzonga kwa hilo, ni kukosa heshima, kukisa adabu, kukisa umakini na kukosa hoja.
Kwa sababu, kila siku Magufuki anafanya makosa. Kwa maneno na matendo.
Amefanya makosa makubwa mengi. Kuanzia kuapisha watu kuwa mawaziri kabla hawajaapishwa ubunge mpaka kukataza m8kutano ya hadhara ya kisiasa inayoruhusiwa na katiba.
Kuanzia kusema atapiga mpaka shangazi za wapinzani mpaka kuingikia biashara ya korosho na kuangusha mapato ya bidhaa za kilimo kwa asilimia 55 ndani ya mwaka mmoja.
Sasa mtu ambaye akifungua mdomo tu inatoka harufu ya ujinga, kwa nini mnamhukumu kwa makosa ambayo atayafanya 2025, wakati kuna makosa mengi kafanya ndani ya miaka minne iliyopita?
Mnawapa msemo wanaosema wapinzani wa Magufuli wanapinga tu, bila hoja.
Ukizushiwa jwamba utaiba mwaka 2025 na kuhukumiwa kwa kisa hilo ambalo hujalifanya bado, utaona hilo ni sawa?
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.
Kingine, wapinzani wa Magufuki wanapoongelea kwamba atavunja katiba na kuendelea kuwa rais baada ya term limits kuisha, hilo lina maana kwamba 2020 wameshakubali Magufuli atashinda?
Kama hawamkubali Magufuli, kwa nini wasipigw kampeni aondolewe 2020?
Ukilalamikia uchaguzi wa 2025 wakati wa 2020 hatujafanya, ni kama umekubali tayari Magufuli kashinda 2020.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuombe uzima mremboWasiwasi wenu ni upi? Kati ya mambo ambayo huyu mzee hatofanya ni kuongeza muda wa kukaa madarakani. Tuzifufue hizi nyuzi 2025.
I know. We can stretch this under the disguise of 'philosophical' reasoning, and we can spend the entire day on that.Mimi tatizo langu ni hii dhana nzima ya kumhukumu mtu kabla hajafanya kisa.
Magufuli ana makosa kibao kashayafanya.
Mhukumuni kwa makosa ambayo kashayafanya.
Si kwa makosa ambayo mnafikiri atafanya.
Tukihalalisha hukumu kwa makosa yanayokuja baadaye, kila mtu anaweza kumtungia kila mtu mwingine makosa na kumhukumu.
It is a ridiculous concept that shows weakness.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya Ni tofauti ila hizo nchi nyingine u lizobaki znafanana ukizngatia utawala huu was tzTz na kenya zina mazingira tofauti sana kisiasa na nchi za rwanda,,burundi na uganda na hii ipo kwenye nguvu ya vyama vya siasa na si mtu mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
A person is considered innocent until proven guilty.wandugu, tusiwe naive.
we make it sound like the monster before us is some innocent saint.
mi simo!
Hapana. Unafananisha vitu viwili tofauti.I know. We can stretch this under the disguise of 'philosophical' reasoning, and we can spend the entire day on that.
Mtu anayejulikana kwa vitendo vyake vya ujambazi, usiku mmoja anakugongea mlango, na unajua wazi ndiye yeye. Unafungua mlango ukamsikilize shida iliyomleta kwako ni ipi!
Tuanze na hili kwanzaKagasheki nae atulie wametuibia sana kipindi chao, wakiendelea fyoko fyoko tutayafukua makaburi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wewe unajulikana ni jambazi sugu, na mitaani unajulikana pasi shaka hiyo ndio sifa yako inayokupambanua; tutajuaje kuwa kati ya leo hadi hiyo 2025 utabadilika?Hapana. Unafananisha vitu viwili tofauti.
Unafananisha kumhukumu jambazi anayekugongea mlango leo, na kumhukumu mtu kwa ujambazi wa kinadharia unaosema ataufanya mwaka 2025.
Hivi tukikuhukumu kwa ujambazi ambao tunasema utaufanya mwaka 2025 utaona sawa?
Sent using Jamii Forums mobile app
nadhani pia si sahihi kwako kutuhukumu/tuhumu - whatever - tunaosema ni naivety kuamini eti hatang'ang'ania madarakani kipindi chake kikiisha (be it 2020 or 2025).Kumhukumu Magufuli kwa makosa ya kinadharia anayodaiwa kuwa atayafanya mwaka 2025 ni ujinga.
Hususan ikiwa Magufuli tayari ana makisa mengi sana ambayo kayafanya tayari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mtu ni jambazi, anahukumiwa kwa ujambazi alioufanya au anaotuhumiwa kwamba ataufanya 2025?Kama wewe unajulikana ni jambazi sugu, na mitaani unajulikana pasi shaka hiyo ndio sifa yako inayokupambanua; tutajuaje kuwa kati ya leo hadi hiyo 2025 utabadilika?
Nitakuwa naiweka familia yangu hatarini nisipokutolea gobole nikikuona unazongea mlangoni pangu.