Elections 2010 Kagasheki kugombea au kutogombea tena 2010?

Elections 2010 Kagasheki kugombea au kutogombea tena 2010?

Kafara,

Asante kwa changamoto ulizotoa kuthibitisha juu ya moja Utapeli wa Kagasheki na pili ugumu wa yeye kuingia Geneva.

Kama nimekuelewa vema unakubaliana na data aliyotoa FMES juu ya uthibitisho wa ubadhirifu uliothibitishwa na Maodita katika ofisi na haswa katika nafasi aliyokuwa anakalia Kagasheki ndani ya WIPO. Ila unahoji kwa nini basi hakufikishwa mahakamani?

Kwa uelewa wangu na uzoefu nilionao katika mashirika ya kimataifa, fraud kama hii ya Kagasheki ni nyingi mno na kubwa kuliko hata baadhi ya serikali badhirifu za Afrika. Mara nyingi hufanyika kupitia manunuzi na wakati wa operesheni maalumu.Baadhi ya mifano halisi ni ubadhirifu katika ujenzi wa ofisi ya UNHABITAT-Nairobi ambayo kuwekwa kwake wazi kumemghalimu Prof.Tibaijuka kupoteza cheo, ujenzi wa WIPO ofisi-Geneva ambayo Kagasheki anahusika, fraud katika “Operesheni Mafuta kwa Chakula” iliyofanyika Iraq (Kagasheki anahusika pia). Swali lako hapa ni kwa nini basi hawafikishwi kwenye vyombo vya sheria? Majibu ni mengi na hutegemea saana move ya fraud yenyewe na adhari zitokanazo na fraud hiyo. Ila moja ya sababu ni UN agencies kuogopa kupoteza uaminifu mbele ya wadhamini.Hizi agencies zote zinategemea michango ya wahisani na nchi wanachama kuendesha shughuli zao. Unapochukua mkondo wa sheria unamaanisha kuanika matumizi mabovu ya pesa za wahisani. Si kwamba haitokei kuchukua hatua kwa mkondo wa mahakama,la hasha inatokea ila kwa kuweka maslahi na nini itakuwa picha (image) ya shirika mbele ya wafadhiri. Kwa kuliona hili,mashirika mengi yamechukua chaguo ya KUZIDHATITI badala ya TIBA katika kudhibiti fraud. Mfano bank accounts zote za mfanyakazi wa mashirika haya pamoja na transactions zake zinaangaliwa kwa karibu sana. Kila mwaka anahitajika kuorodhesha mapato yake, mali alizonazo na amezipata vipi. Hii form si kama ile karatasi ya Bunge la Tanzania. Lakini kwa hii kesi ya Kagasheki nijuavyo mie kabla ya mambo kwenda mbali sana alijiondoa WIPO. Maana hata queries za maodita halizijibu akiwa nje ya WIPO akilazimika kusafiri toka Tanzania.

Pili kuhusu ugumu wa yeye kuingia Geneva binafsi sikumaanisha kupata viza bali aibu ya utapeli aliofanya. Nafahamu familia yake bado hipo hapa Geneva na si mtoto wake wala mkewe yuko au alifika kwenye kampeni zake Bukoba. Unajua nyumbani ni nchi ya ajabu sana, mwizi wa fedha nyingi ni shujaa. Unasikia alimanusura Kagasheki angeukwaa Uwaziri wa Mambo ya Nje!

- Ubarikiwe sana mkuu hakuna la kuongeza wala kupunguza!

FMES!
 
Kafara,

Asante kwa changamoto ulizotoa kuthibitisha juu ya moja Utapeli wa Kagasheki na pili ugumu wa yeye kuingia Geneva.

Kama nimekuelewa vema unakubaliana na data aliyotoa FMES juu ya uthibitisho wa ubadhirifu uliothibitishwa na Maodita katika ofisi na haswa katika nafasi aliyokuwa anakalia Kagasheki ndani ya WIPO. Ila unahoji kwa nini basi hakufikishwa mahakamani?

Kwa uelewa wangu na uzoefu nilionao katika mashirika ya kimataifa, fraud kama hii ya Kagasheki ni nyingi mno na kubwa kuliko hata baadhi ya serikali badhirifu za Afrika. Mara nyingi hufanyika kupitia manunuzi na wakati wa operesheni maalumu.Baadhi ya mifano halisi ni ubadhirifu katika ujenzi wa ofisi ya UNHABITAT-Nairobi ambayo kuwekwa kwake wazi kumemghalimu Prof.Tibaijuka kupoteza cheo, ujenzi wa WIPO ofisi-Geneva ambayo Kagasheki anahusika, fraud katika "Operesheni Mafuta kwa Chakula" iliyofanyika Iraq (Kagasheki anahusika pia). Swali lako hapa ni kwa nini basi hawafikishwi kwenye vyombo vya sheria? Majibu ni mengi na hutegemea saana move ya fraud yenyewe na adhari zitokanazo na fraud hiyo. Ila moja ya sababu ni UN agencies kuogopa kupoteza uaminifu mbele ya wadhamini.Hizi agencies zote zinategemea michango ya wahisani na nchi wanachama kuendesha shughuli zao. Unapochukua mkondo wa sheria unamaanisha kuanika matumizi mabovu ya pesa za wahisani. Si kwamba haitokei kuchukua hatua kwa mkondo wa mahakama,la hasha inatokea ila kwa kuweka maslahi na nini itakuwa picha (image) ya shirika mbele ya wafadhiri. Kwa kuliona hili,mashirika mengi yamechukua chaguo ya KUZIDHATITI badala ya TIBA katika kudhibiti fraud. Mfano bank accounts zote za mfanyakazi wa mashirika haya pamoja na transactions zake zinaangaliwa kwa karibu sana. Kila mwaka anahitajika kuorodhesha mapato yake, mali alizonazo na amezipata vipi. Hii form si kama ile karatasi ya Bunge la Tanzania. Lakini kwa hii kesi ya Kagasheki nijuavyo mie kabla ya mambo kwenda mbali sana alijiondoa WIPO. Maana hata queries za maodita halizijibu akiwa nje ya WIPO akilazimika kusafiri toka Tanzania.

Pili kuhusu ugumu wa yeye kuingia Geneva binafsi sikumaanisha kupata viza bali aibu ya utapeli aliofanya. Nafahamu familia yake bado hipo hapa Geneva na si mtoto wake wala mkewe yuko au alifika kwenye kampeni zake Bukoba. Unajua nyumbani ni nchi ya ajabu sana, mwizi wa fedha nyingi ni shujaa. Unasikia alimanusura Kagasheki angeukwaa Uwaziri wa Mambo ya Nje!

asante kwa maelezo marefu uliyotoa lakini bado hayathibitishi balozi kagasheki kuhusika na huo ubadhilifu.

1. je unafahamu kwamba hili suala la pesa lilikuwa linashughulikiwa na serikali ya uswiss na wala sio shirika? kama nimeelewa vizuri hiyo taarifa ni kwamba wipo hawakuona sheria alizovunja balozi suedi hivyo shirika halikumshitaki. sasa naomba ueleze kwa nini waswisi hawakushitaki au wao pia uchumi wao unategemea wanachama wa wipo?

2. jambo nililoliona kwenye taarifa hiyo kule kwa balozi kagasheki kuonekana kupokea pesa kutoka kwa bwana wilson ambaye anatuhumiwa kwa dili kadhaa zinazoonekana zina utata. suala hili linaonekana kutolewa maelezo na sijaona mahali sababu za mbadilishano wa pesa kati ya balozi kagasheki na bwana wilson zimekataliwa. kwa maneno mengine jaji mhusika anaonekana kulikubali hili. sasa kama hili ni tatizo ni bora ielezwe vyema kwamba ushahidi unaonyesha sababu zilizotolewa si kweli.

3. hii ya fomu za mali ulionazo kwa kweli ndio nasikia kwako. je unaweza kueleza hii ipo kwenye kipengele gani za sheria za uajiri za wafanyakazi wa umoja wa mataifa? kwa maana naamini wafanyakazi wa umoja wa mataifa wanazo sheria zinazohusu ajira zao.

4. hili la bank transaction kufuatiliwa kwa karibu tena uswisi nalo naona linakuzwa vinginevyo wamerekani wasingewapigia kelele waswisi kwa kuficha taarifa za kibenki.

5. hili la aibu kigezo chake nini? mbona nasikia hata huko wipo amewahi kuhudhuria mkutano mkuu baada ya kutoka kwenye shirika? majuzi pia nasikia alihuduria mkutano wa wakimbizi akiwa naibu waziri wa mambo ya ndani. labda ungefafanua kigezo unachotumia kupima aibu unayoielezea
 
Main point ni kwamba , what has this person done in the five years alopewa na wanajimbo wake? Juzi juzi tu ndo tumeanza kumuona kwenye vyombo vya habari , Mara , Tarime , Rorya etc etc. Methinks ni mambo ya kuanza exposure tayari kwa ajili ya 2010. Kama hajawatekelezea wapigakura wake ahadi that he made , why should he be given a second chance? My two cents!!!!
 
Last edited:

Kagasheki kajitahidi sana. Lakini kwa kutoa pesa yake mfukoni.
Hii mimi huwa napingana nayo sana maana mbunge si donor. Hii si kazi ya mbunge. Je siku akifa itakuwaje? Hiyo pesa anayotoa anategemea kuilipa vipi?
Amekuwa donor tangu 2004 alipoanza adhima yake ya kugombea jimbo hili kwa kuweka taa za barabarani katika barabara chache mjini na haziwaki tena sasa maana kusudio lilipatikana.
Amefanya mengi maana amejitolea mambo mengi ikiwa ni pamoja na kutoa ambulance, vipesa kidogo kwa ajili ya ujenzi wa shule za sekondari za kutwa, rambirambi za sh 10 elfu kwenye misiba huwa hazikosi toka kwa wapambe wake hata kama hayupo wala hakujui.
Shida yake kubwa ni ile kuwatumia wahuni wa mji wa Bukoba kama viongozi na wapambe wake. Watu waliokuwa na criminal historical background hao ndio watu walio karibu naye, na wafanyakazi katika ofisi yake. Inaelekea watu wengi hawakupenda jambo hili ingawa yeye alidhani hao ndio wanaweza ku convice watu wampende. Na hapa ndipo alipopiga chini.
 
Nakubaliana nawe kwamba kazi ya mbunge sio kutoa msaada kama vile red cross. ni kuleta maendeleo jimboni . Out of all ahadi alizozitoa , mangapi amefanikisha. Tukumbuke maendeleo ni an ongoing process , sio kuweka tu taa za barabarani ndo tuseme ameleta maendeleo! Hizo ambulance , na misaada yote alotoa , are they sustainable - hayo ndo maendeleo. Kama ameshindwa kuleta maendeleo sustainable , basi kuna haja gani yake kuendelea kuwa na wahdifa huo??
 
- Hapana mkuu hatushindani ila tunaelimishana tu, JF ni mapambano ya fikra na to me it is fun, maana ukiweza kukabili siasa na vigongo vya JF basi hata za bongo haziwezi kukupa shida.

- Ni kweli mkuu wabunge huwa wanagombea U-Spika, mara ya mwisho Msekwa aligombea na Akukweti pamoja na Sitta, mpaka leo sijajua kama mtu asiyekua mbunge anaweza kugombea uspika, maana Msekwa aligombea akiwa sio mbunge, aliyeshinda alikuwa Sitta, ni kweli huwa wanagombea ndani ya bunge.

Otherwise, tuliyaweza ya bahari kukimbia ujamaa, haya ya JF ni madogo sana.

Respect.

FMES!

U speaker unagombewa nadhani haihitaji hadi uwe mbunge,Nakumbuka 2005 mwanafunzi wa udsm hakuwa mbunge naye alijitosa ktk kinyang'anyiro cha u speaker kwa ticketi ya ccm lakini alitoswa mapema.
 
Kwakuwa chanzo cha habari kinatoka kwa Mbowe(Tanzania Daima),hiyo habari haina ukweli wowote.Ingekuwa gazeti lisilo na upande tungeliamini.
 
Haya Tuone kama mwakani hatakuwa na ukumbi wa kumpunua mbele ya Lwakatare na pia akiwa CHADEMA
 
Back
Top Bottom