Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,365
- 16,444
Nimeelewa umetaka kusema Nini, wakati mwingine Kuna Mambo yanafikirisha Sana na ukiyafikiria yatafanya u-question utendaji wake yeye aliye MkuuDaa inafikirisha(ikumbukwe kusema hivyo siyo kwamba sitambui uweza wake aliye juu)
Burundi na Rwanda na makoloni yote ya Ufaransa wanaendeshea kulia. Inaonekana huyu ni mgeni kwa uzoefu wa njia za Tanzania. Yumkini alikuwa anajisahau akijua yuko kwaoNyie madereva Ni kwanini huwa mnahama upande wa barabara hasa kwenye Kona Kali ?
Yani unajuwa kabisa kwamba Kama Kuna mtu anakuja mtagongana sababu upo upande wake
Umeandika pumba!So sad dah!
Pumzikeni kwa Amani
Ajali hizi kwa nini?
Mungu awape faraja wote walioguswa na msiba huu!
Hapana. Baba amebaki.Eehh jamani....familia yote?
Yaani haya maisha ya ajabu sana ni kitendawili,nami uwa nawaza sana kusafiri na familia yangu kwa wakati mmoja uwa nateseka sana njiani na uwa naomba sana ikitokeaga safari ya pamoja hasa kipindi cha likizo,anyway hili ni fumbo no one knowsDah:
Madogo sana yaani. Sanaaaa.
- Magreth Sekanabo (14),
- Adidas Sekanabo (12),
- Zabron Sekanabo (6),
- Vedastina Sekanabo (8).
Wapumzike kwa Amani.
Kuna kipindi nilikwenda Rwanda nadrive kwa mara ya kwanza aisee kuna kipindi nilikuwa nasahau naendeshea kushoto sema Rwandese ni wastaarabu sana kwani speed limit ni 40kmph karibu nchi nzima na wakiuona umekosea na wakaona plate No inaanza na T wanapunguza mwendo na kukuelekeza mpk police wanakuelekeza ila ingekuwa majinga yetu ya hapa mafaini yangeliniua.Na kama si ustaarabu wa Wanyarwanda nadhani nisengelitoboa Rwanda.Zamani kulikuwa na Vibao vikiwakumbusha Madereva kuwa watembelee kushoto na ukiingia Rwanda kulikuwa na Vibao vinavyokumbusha Madereva watembelee kulia.
Vile vibao vilikuwa vimewekwa kwa Kilomita 50.
Ni rahisi kwa Dereva kusahau na kufikiri kuwa bado yuko Rwanda. au Tanzania.
Daah pole sana atafyetua wengineDah:
Madogo sana yaani. Sanaaaa.
- Magreth Sekanabo (14),
- Adidas Sekanabo (12),
- Zabron Sekanabo (6),
- Vedastina Sekanabo (8).
Wapumzike kwa Amani.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Dah:
Madogo sana yaani. Sanaaaa.
- Magreth Sekanabo (14),
- Adidas Sekanabo (12),
- Zabron Sekanabo (6),
- Vedastina Sekanabo (8).
Wapumzike kwa Amani.
R I P AdidasDah:
Madogo sana yaani. Sanaaaa.
- Magreth Sekanabo (14),
- Adidas Sekanabo (12),
- Zabron Sekanabo (6),
- Vedastina Sekanabo (8).
Wapumzike kwa Amani.