Kagera: Amuua mwanaye kwa kumchoma moto makalioni na usoni

Kagera: Amuua mwanaye kwa kumchoma moto makalioni na usoni

Hapana, kuna taarifa nyingi za akina mama kuua watoto wao
Kuna moja mama alimkata vipande mwanae na kumchemsha supu.
Kikubwa na kumomba Mungu kwa pande zote mbili
kina mama tusiache watoto wetu nyuma jamani hata kama maisha ni magumu tuondoke nao tu
 
Hapana, kuna taarifa nyingi za akina mama kuua watoto wao
Kuna moja mama alimkata vipande mwanae na kumchemsha supu.
Kikubwa na kumomba Mungu kwa pande zote mbili
Huyo alikuwa kichaa katika hali ya kawaida haiwezekani kufanya hivo
 
"yaliyopita si ndwele, Mungu alisema tusamehe 7 mara 70, waachieni watoke wakaungane na familia zao na biashara zao ili waendelee kuongeza ajira na mapato ya serikali."
 
Akina Mama ukiachana na mwenzako , usiache watoto badae wanakuja kuteseka sana huko nyuma.
 
Back
Top Bottom