Kagera (Bukoba) mahali pa ovyo kuwahi kutembelea

Socio cultural difference. Labda na wewe ungesema ni mtu wa wapi na mambo yako ni yapi hasa ili tuone nini ilisababisha hayo yaliyokukuta.

Kikubwa ni ku embrace difference zetu na kuendana na mambo. Hizo tabia Tanzania sehemu nyingi zipo zinatofautiana ujazo tu. Kwa maeneo ya mikoa ambayo ni ya mjini inapungua, kwa maeneo ambayo ni ya mipakani na kuna kabila moja la asili lime dominate hayo mambo yanakuwa mengi zaidi.

Mara ya kwanza natembelea Bukoba, japo sikukaa sana lakini nilienda hadi maeneo ya ndani ndani kama vile kata ya Rubafu nikaishi nao fresh tu.

Mambo mengine ni uoga wa asili wa wazawa. Hata Pwani ukiend deepkuna namna watu wanagwaya mgeni ukiingia na kuanza mambo kama ya kutafuta mashamba, biashara n.k

Ni kama hata kwa level ya taifa tunavyoogopa kutoa uraia pacha na kuwapa wageni haki au uhuru wa kununua ardhi n.k Lakini kuna watu kibao tu wamejenga na kununua ardhi kienyeji.
 
Mkuu wiki Jana nilikua Rubafu hii ni TARAFA ya Bugabo.... Nimeandika kitu ambacho nimekistudy na kufanya ulinganisho na maeno mengine hapa ni too much mkuu kama ni kwenu Samahani sanaaa Sanaa ila jirekebisheni

Soma wadau wengine wanasemaje kuhusu hili
 
Daah mzee umeongea fact sana ukweli mchungu( Almost kila kitu ni kweli ) mmi nipo apa bukoba mwaka WA tano but hakuna jipya I plan niondoke...kuhusu Rio sheria gani hizo zimekiukwa??..
Sheria ya Usimamizi wa Mazingira Sura 191 kuhusu Hifadhi ya Eneo la Mita 60 kutoka vyanzo hivyo vya maji inayozuia matumizi yoyote ya kibinadamu katika maeneo hayo.
 
Hujagusia ULOZI... Au huko hamna hizi mambo?
Alikuwa anafocus na "ubaya"..

Kuonesha bukoba ni mbaya

Nadhani hilo ni tatizo la watu wengi ambao wakiwaona wahaya wa mjini wanategemea wakute maghorofa bukoba mjini. Wanapokutana na hiyo disapointment wanaanza kutafuta uhalali wa kuionesha ni mbaya kiasi gani

Amesahau tu na funza na shida ya maji na vyoo kwa baadhi ya sehemu. Nimemsaidia kuongeza 😁
 
Mkuu hili lako wewe... Sijaongelea ghorofa hapo pole sana mkuu kawaelimisheni kwenu mtabaki na ukabila wenu
 
Mkuu hili lako wewe... Sijaongelea ghorofa hapo pole sana mkuu kawaelimisheni kwenu mtabaki na ukabila wenu

Pole mkuu kwa kuumizwa na kubaguliwa kiasi cha kuwawazia hao wahaya usiku wa manane.. Ila nina issue ya kufanya, nilikuwa napita jf kupoza ubongo na natumai utapata mtu wa ku_exchange hiyo negative energy uliyonayo
πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nashukuru Kwa muda wako Madam karibu Tena wapoozaji wapo wengi humu.
 
Uchambuzi gani huu? Nijiuavyo, Kagera si Bukoba wala si ya wahaya. Kwani wapo wahangaza, wanyambo, wasukuma na makabila mengine. Tatizo lako ni kutumia muda mwingi kutaka kila kitu kiwe kama unavyotaka. Kwa wanaojua ubunifu, unapokuta sehemu fulani inakosa kitu au vitu, hizo ndizo fursa na siyo lawama.
 
Hapo Rio ni patamu sana!!

Pale liquid nilishuka kufanya utalii nikaongea na wale jamaa wa kwenye uchochoro aiseh nilihisi kutapika kabisa!!!

Pale Ihungo pale Jpm alipajenga aiseh!kiwe chuo walau kuchangamsha mji na hostel zijengwe mtaani Ili kuongeza mzunguko wa pesa!coz unanunua bidhaa Hadi mwenye duka anasema asante Kwa kumuungisha hiyo inaonyesha mzunguko wa pesa no mgumu!!
 
Sio kwetu, najaribu tu kutengeneza point of view tofauti.
Ndio maana sijakupinga, nimeangalia extent. Ndio nikasema naona ni kama sehemu zote.
 
Umenena vyema
 
Mkuu ungesogea pale kayanga Hadi omurushaka Hadi vilima vya kyerwa kule Rwenkorongo aiseh mbona wanyambo wanyankole wajomba zangu na mama zangu wadogo Kwa wakubwa no wema sana aiseh!!?

Ungeenda kwenye vilima vya Rwenkorongo ukapigwe na upepo huku ukila ndizi maharage ukishushia na jororo (maziwa mabichi hayajaganda ya kuchemsha-kwa lugha ya kirangi)

Huku ukipiga stori na mabinti wa kinyambo plus mabro wale was kinyankole basi Raha sana!!

Usingeishia bukoba mjini pale Omurshaka patamu has Ile hotel inayochoma nyama za mbuzi ungeenda pale!!

Pole sana mkuu!
 
Nimeishi Bukoba, niliishi huku lake side, siyo mbali na uwanja wao wa kaitaba, na jirani na kwa mkuu wa mkoa, na airport.

Nimezunguka hako ka mji kote, Kuanzia Huko kashai, kule Lugambwa, huko Custom kwenye daraja, Hamgembe, mbele juu kule polisi kota, kwa ufupi Bukoba nimeenda mara nying kikazi kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa.

Hawa watu/binadamu wa mkoa huo wa Kagera ulichokisema ni 500%.

Kuna nyakati zingine nahisi siyo watanzania kabisa.

Majungu, Fitina, Uongo ni mali yao, wengine mnasingiziwa.

Kama alivyosema mwandishi, ule mkoa unamatatizo.

Ka mji kao kabovu, lakini duh nisiseme mengi kuna watu wanaweza kunifahamu.
 
Ahsante mkuu ngoja nipatafutie muda hata siku mbili labda ntabadili maamuziπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…