Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Kudhoofisha×
Kudhohofisha✓.
Utawala katili kama huu nani anataka kufanya kaziSasa Nani atataka kuwa na morali ya kufanya kazi katika mazingira haya yaliyojaaa Vitisho kudhalilishwa kunyanyaswa na Kudhulumiwa stahili zako kinguvu?? Mi niliamua kustaafu nikiwa na 37. Bora kidogo nachopata kwa Amani kuliko kikubwa Cha manyanyaso. Heko walimu mnaojitambua
Na kufa hapana. Lazima tuumie woteHii ngoma hakuna kutema wala kumeza!...
... wanawahi grace period inayoishia 2023 kwa formula ya zamani. Baada ya hapo ni kilio na kusaga meno. Thanks Mkuu kwa kulitambua hili kabla hata utafiti alioagiza Profesa haujaanza.Kikokotoo.
Mwehu tu ndio hajui
Sisi kama serikali hatuwezi walimu wako wengi sana hatuna hayo mahera.Wafanye maslahi ya Walimu yawe kama ya Wabunge, watumishi wa BOT, TPA, TBS na sekta nyengine afu waone kama watataka wastaafu na miaka 60.