dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
Ni sawa; lakini mbona rate ya maombi ya retirement imeongezeka sana kuliko miaka ya nyuma? Lengo ni kujua sababu ya hiyo trend hata kama ni haki yao kisheria lakini ni abnormal.Bila shaka huyo Katibu Tawala amekosa shughuli ya kufanya. Kwani Sheria si inamruhusu Mtumishi kustaafu kwa hiyari yake mwenyewe afikishapo huo umri wa miaka 55!
Aache kuwapangia watu maisha yao.