Ni sawa; lakini mbona rate ya maombi ya retirement imeongezeka sana kuliko miaka ya nyuma? Lengo ni kujua sababu ya hiyo trend hata kama ni haki yao kisheria lakini ni abnormal.Bila shaka huyo Katibu Tawala amekosa shughuli ya kufanya. Kwani Sheria si inamruhusu Mtumishi kustaafu kwa hiyari yake mwenyewe afikishapo huo umri wa miaka 55!
Aache kuwapangia watu maisha yao.
Kazi gan tena????Sasa Nani atataka kuwa na morali ya kufanya kazi katika mazingira haya yaliyojaaa Vitisho kudhalilishwa kunyanyaswa na Kudhulumiwa stahili zako kinguvu?? Mi niliamua kustaafu nikiwa na 37. Bora kidogo nachopata kwa Amani kuliko kikubwa Cha manyanyaso. Heko walimu mnaojitambua
Wengine wamechoka, walirudisha miaka nyuma Sasa Wana 70 file linasoma 51!Sio hao tu waliotimiza miaka 55 ndo wanataka kustaafu...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii ngoma hakuna kutema wala kumeza!
Ukistaaf kwa hiyari kosa, ukiacha kazi kwenda private kosa, ukifundisha tuition kosa, ukidai nyongeza kosa, ukidai promotion kosa!...
Huyo alishakula keki yake Mzumbe.. Alishakuwa DVC kama sio VC!Matumiz mabaya ya rasilimali watu HUKO vyuo vikuu Kuna uhaba mkubwa wa wamaprof lakn huyu kawa katibu tawala wakat angeandaa vijana vyuon tupate wataalam wakutosha
Nakubaliana na wewe kwa hilo mkuu, wapo (wazee) wengi walioajiriwa miaka ya 90, walirudisha miaka nyuma...kwenye file ana 54 lakini uhalisia ana 70...so wengi wao wamechokaWengine wamechoka, walirudisha miaka nyuma Sasa Wana 70 file linasoma 51!
Natamani wangepunguza hiyo miaka kutoka 55 mpaka 45! Kazi yenyewe inadharauliwa hadi na wachimba mitaro! Si bora kustaafu tu mapema ili kujianzishia kajiduka au shughuli za ufugaji na kilimo!Sio hao tu waliotimiza miaka 55 ndo wanataka kustaafu...
wapo wengi kina sisi wenye 30+ na 40+ tunaotaka kuondoka tukajaribu kwingine...
hii ya kufanya kazi kwa vitisho na unyanyasaji nani anataka?
prof atulie...,,watu wamechoka mno ni vile hawana pa kusemea
Mkuu hebu fikiria mtu ameajiriwa 2014 mpaka leo, hakuna nyongeza ya salary wala kupandishwa daraja.....Natamani wangepunguza hiyo miaka kutoka 55 mpaka 45! Kazi yenyewe inadharauliwa hadi na wachimba mitaro! Si bora kustaafu tu mapema ili kujianzishia kajiduka au shughuli za ufugaji na kilimo!
Serikali inayo pesa ya kutosha kulipa madai/madeni ya walimu wastaafu wote??Ni kitu kizuri vijana wanalia ajira wanasema wazee hawataki kuondoka vijana waingie.Kama wanastaafu mapema wanapunguza tatizo la ajira pia ili wapishe vijana
serikali ihamasishe watu kustaafu mapema kupunguza tatizo la ajira
Wanasiasa nao waongo, Kuna mtu aliahidi kumleta balali Leo karudi kwa walewale waliomficha.Mkuu hebu fikiria mtu ameajiriwa 2014 mpaka leo, hakuna nyongeza ya salary wala kupandishwa daraja.....
Hata hicho kidogo kilichokuwepo, Jiwe alikuja akakipunguza kwa kuongeza makato ya bodi ya mikopo...
Sasa moyo wa kazi unatoka wapi?
Kwa nn mtu usifikirie kuacha kazi ?
Hata Mimi ningekuwa nimefikisha miaka 55 ningeomba kustaafu, maana si kwa vitisho hivi mpaka kazi imekuwa chungu, amani hakuna, maslahi mabovu, ukidai maslahi mazuri unaambiwa Kama vipi acha kazi!! Viongozi wengi wamekuwa watemi Sana na makatili Sana, inakatisha tamaa Sana kwa kweli.Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera, Prof. Faustine Kamuzora amewaagiza maofisa wa idara ya elimu katika mkoa huo kutathimini sababu zinazochangia wimbi kubwa la walimu wa shule za msingi na sekondari mkoani humo za kuchukua uamzi wa kuomba kustaafu kazi kabla ya kufikisha umri wa miaka 60 wakati hawana matatizo yoyote ya kiafya.....
Na mimi naagiza ufanyike utafiti kwa nini Professor hupo Kagera ofisini akiwa ni katibu tawala wakati kuna uhaba mkubwa wa maprofessor vyuo vikuu?Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera, Prof. Faustine Kamuzora amewaagiza maofisa wa idara ya elimu katika mkoa huo kutathimini sababu zinazochangia wimbi kubwa la walimu wa shule za msingi na sekondari mkoani humo za kuchukua uamzi wa kuomba kustaafu kazi kabla ya kufikisha umri wa miaka 60 wakati hawana matatizo yoyote ya kiafya...