Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Hivi ndivyo serikali inavyotakiwa kufanya kazi.
Siyo serikali ya bwana yule kufichaficha mambo.
Kudos.
Kwani nani kakwambia nataka mawasiliano na trolls?Hii siyo sawa. Unataka uliemjibu apate ujumbe wako au mchanganye? Moja ya sehemu ya mawasiliano ni ujumbe ufike kwa hadhira. Mjibu kwa kiswahili.
Hakujua methali ya Kiswahili "Mficha maradhi, mauti humfichua".Bwana yule alifichaficha Covid mpaka ikaja kuleta balaa white house
HAMTAFANIKIWA.MARBURG be careful the new Pandemic ! It was announced by WHO now it’s Here. God help us
Mhh, wewe ni wile wa Arusha au nimekosea?Hii siyo sawa. Unataka uliemjibu apate ujumbe wako au mchanganye? Moja ya sehemu ya mawasiliano ni ujumbe ufike kwa hadhira. Mjibu kwa kiswahili.
NDO MANAKE... KWISHA HABARIMjadala wa bima ya watoto unafukiwa na taarifa za ugonjwa usiojulikana mithili ya ebora!
Ndo imetoka hiyo! Famasihara
ACHA KIHEREHERE.Wapige marufuku kuingia na kutoka hapo
Mbona mnajitoa ufahamu wakati tulishaambiwa miaka zaidi ya 1000 kuwa mjitenge?
Mlitakiwa kusema LIVE kwamba ni EBOLA mnazunguuuuka Mbuyu?
Walivyo na roho za kichawi hawa watu wataficha hii taarifa. Na hawataendelea kuripoti.Mama yangu kanifahamisha kuhusu kifo cha nesi anayefahamiana naye. Amekufa kwa dalili za EBOLA. Inasemekana alimhudumia mwenye dalili hizo. Inasemekana kuna watu kama 4 weshafariki with the same symptoms. Wizara ya Afya mpo slow sana kukabiliana na emergency. By now ilibidi kuwepo na taarifa rasmi kuhusu hali hii.
Wewe ni kiazi wala hujui uliko, unajua dalili za ebola ni zipi ama unavamia nyuzi tu na mijezi yako ya fisiemu, ndiomaana lile jendawazimu lenu lilikufa na corona kwa ubishi wake nyambafWEWE NI DOKTA AU DOKTA UCHWARA?
AU NI BOGA LA MTANDAONI LINALOJITUTUMUA?
NENDA KARIPOTI WEWE.Walivyo na roho za kichawi hawa watu wataficha hii taarifa. Na hawataendelea kuripoti.
Wewe ni kiazi wala hujui uliko, unajua dalili za ebola ni zipi
Boya we serekalee ndio niniTULIA WEWE BOGA LENYE KUTU KICHWANI.
SEREKALEE YAKO ITAKUELEKEZA CHA KUFANYA.
USIJIFANYE UNA AKILI KULIKO SEREKALEE.
SEREKALEE NDO BABAKO.serekalee ndio nini
mafisiemu akili kisoda kwahiyo mnasubiri hangaya aje awaambie mchukue tahadhari, na wewe utakua mhaya tu nyambaf. mlishaambiwa za kuambiwa mchanganye na zenu mnashupaza shingo tu kwendraaaaaaaaaaSEREKALEE NDO BABAKO.
NA UTULIE, USIJIFANYE DOKTA TAMBI TAMBI.
UNASTAHILI KUNYUKWA BAKORA TATU ZA MAKALIO.mafisiemu akili kisoda kwahiyo mnasubiri hangaya aje awaambie mchukue tahadhari, na wewe utakua mhaya tu nyambaf. mlishaambiwa za kuambiwa mchanganye na zenu mnashupaza shingo tu kwendraaaaaaaaaa
Corona au Ebola?