Kagera kuna hali ya hatari, kumezuka ugonjwa wa kutokwa damu puani na mdomoni. Watu 5 wafariki dunia 2 wako hospitali. Serikali ichukue hatua haraka

Kagera kuna hali ya hatari, kumezuka ugonjwa wa kutokwa damu puani na mdomoni. Watu 5 wafariki dunia 2 wako hospitali. Serikali ichukue hatua haraka

Eneo husika liwekewe karantini haraka sana, watu wasisafiri hovyo, njia kuu za eneo hilo vitengenezwe vituo vya afya vya temporary ili kudhibiti.
 
This condescending chicanery is a flatfooted and futile arduous attempt at grotesquely and gratuitously gaslighting a proven pugilist who punches purposefully and wickedly way ahead and above your waning weight.
Hii siyo sawa. Unataka uliemjibu apate ujumbe wako au mchanganye? Moja ya sehemu ya mawasiliano ni ujumbe ufike kwa hadhira. Mjibu kwa kiswahili.
 
Imeshindikana kovid itakuwa kitu hakija tambulika?. Hi ni tz watu wa Mungu hatuna wasiwasi yatapita tu.
Sawa lakini haya magonjwa uwa yanapita na roho za watu. Una uwakika hautapita na roho yako? Mzee wa hatuna wasiwasi.
 
Nasikia huko kagera hata ukimwi uliingilia huko , huo mlango uangaliwe vizuri z isije ikawa wakongo washavuka boda au huyo kijana katoka Kongo kuutafuta maisha
 
Zimwi likujualo.................... (Malizia)
Mtoto wa bata .................... (Malizia)
Kilio cha samaki...................(malizia)
Mchelea mwana ................ (Malizia)
Asiye na kwao ..................... (Malizia)
Apandaye kwa hila.............(malizia)
Ng'ombe wa kabwela.... ..(malizia)

Mjadala wa bima ya watoto unafukiwa na taarifa za ugonjwa usiojulikana mithili ya ebora!

Ndo imetoka hiyo! Famasihara
 
Mama yangu kanifahamisha kuhusu kifo cha nesi anayefahamiana naye. Amekufa kwa dalili za EBOLA. Inasemekana alimhudumia mwenye dalili hizo. Inasemekana kuna watu kama 4 weshafariki with the same symptoms. Wizara ya Afya mpo slow sana kukabiliana na emergency. By now ilibidi kuwepo na taarifa rasmi kuhusu hali hii.
Taarifa mbona isha tolewa kiongozi
 

Attachments

  • VID-20230317-WA0011.mp4
    10.8 MB
Kajifunze structure; hasa prepositions, conjunctions na articles kwa Ras Simba.
Daah aisee Ras Simba yupo sawa naona kaajiri wadogo waliomaliza vyuo kabisa Big up kwake na ana matawi mengi Tanzania nzima....
 
Watu wa Bukoba wanatakiwa kuwa karantin ili ugonjwa usisambae
Lakin kimya mpaka sasa

Hadi hapo watakapokamilisha uchunguzi mabus yanaendelea kutembea:

Kwenye eneo la tukio - Bukoba

Bukoba - Dar
Bukoba - Mwanza
Bukoba - Kigoma
Bukoba - Ngara
Nk.

Ni kweli kuwa ajuaye Mola.
 
Hizi mambo ya magonjwa ya mlipuko sample mpaka zitumwe daslm huwa sielewi kabisa...kwa nini kusingekua na Center kadhaa kwenye hizi hospital za kanda...
 
Duh!

Kwa namna inavyoelezwa ni kama huo ni ugonjwa mlipuko...

Ajabu ni kwamba serikali itaachia raia waendelee kuingia na kutoka Kagera
 
Back
Top Bottom