Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
KAMA NI KWELI HIZI HABARI ...BASI SAMIA AJENGEWE SANAMUTaarifa haijawa rasmi lakini hali iko hivi, huko katika Kata ya Kanyangereko, Wilayani Bukoba Vijijini, kwa marehemu Benjamini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KAMA NI KWELI HIZI HABARI ...BASI SAMIA AJENGEWE SANAMUTaarifa haijawa rasmi lakini hali iko hivi, huko katika Kata ya Kanyangereko, Wilayani Bukoba Vijijini, kwa marehemu Benjamini.
Ameen🤲🏼Mungu atunusuru
Mgunda huyu huyu tunayemjua au mwingine?Wajaribu kucheki na homa ya mgunda
Mkoa wa bukoba???Mkoa wa bukoba unalaana
Hii siyo sawa. Unataka uliemjibu apate ujumbe wako au mchanganye? Moja ya sehemu ya mawasiliano ni ujumbe ufike kwa hadhira. Mjibu kwa kiswahili.This condescending chicanery is a flatfooted and futile arduous attempt at grotesquely and gratuitously gaslighting a proven pugilist who punches purposefully and wickedly way ahead and above your waning weight.
Sawa lakini haya magonjwa uwa yanapita na roho za watu. Una uwakika hautapita na roho yako? Mzee wa hatuna wasiwasi.Imeshindikana kovid itakuwa kitu hakija tambulika?. Hi ni tz watu wa Mungu hatuna wasiwasi yatapita tu.
Kadi ya ccmHivi mtu kuwa mganga mkuu wa serikali anakuwa na vigezo Gani?
Taarifa mbona isha tolewa kiongoziMama yangu kanifahamisha kuhusu kifo cha nesi anayefahamiana naye. Amekufa kwa dalili za EBOLA. Inasemekana alimhudumia mwenye dalili hizo. Inasemekana kuna watu kama 4 weshafariki with the same symptoms. Wizara ya Afya mpo slow sana kukabiliana na emergency. By now ilibidi kuwepo na taarifa rasmi kuhusu hali hii.
Daah aisee Ras Simba yupo sawa naona kaajiri wadogo waliomaliza vyuo kabisa Big up kwake na ana matawi mengi Tanzania nzima....Kajifunze structure; hasa prepositions, conjunctions na articles kwa Ras Simba.
Watu wa Bukoba wanatakiwa kuwa karantin ili ugonjwa usisambae
Lakin kimya mpaka sasa
Hizi mambo ya magonjwa ya mlipuko sample mpaka zitumwe daslm huwa sielewi kabisa...kwa nini kusingekua na Center kadhaa kwenye hizi hospital za kanda...
OK hii ni taarifa ya juzi ngoja tuendelee kusubiri majibu yao...NIMR wana kituo Mwanza, huenda sample zikachunguzwa huko