Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani waache tu, ukienda BK kuanzia sabuni, mafuta ya kupika, saruji, vipodoz sukari vyote vinatoka Uganda.Wakiumega tena kuna kila sababu eneo linalobakia kuwa sehemu ya Uganda tena kwa kila kitu.
Sisi zikajenge dodoma hiyo akili matopeWakipoteza hizo fedha bado zitatumika Tanzania.
Rohoo mbaya inatoka wapi mara wahaya mbona mnatengeneza ubaguzi na matabaka.
Hawa jamaa wanashangaza kweli miaka yote kagera imepata matatizo serikali kimya, leo imepatikana neema ya madini ambayo itaenda kuboost uchumi na maendeleo ya mkoa kwa ujumla, eti mkoa umegwe, sijawahi kuelewa hii serikali ina agenda gani ya siri kuhusu huu mkoa kwa nini wamesubiri madini yalipopatikana miaka yote walikuwa wapi, kiukweli hatutakubali.Wana Jf,
Kama utabiri ukitokea uenda Kagera ikapoteza fedha nyingi kwa kile tunachokiita upuuzi wa mwombolezaji mmoja toka Chato. Chato imebebwa na Kagera miaka mingi tangia falme mpaka kuwa wilaya kamili. Sasa hawa jamaa wanaleta unazi kuwa kila kiongozi mkuu apewe anachohitaji, kwa njia hii tutakuwa na mikoa mia moja yaani.
Ona sasa Kagera inaenda kupoteza million 53.4. Alafu mje meme wahaya hawapendi kujenga kwao kumbe wanahujumiwa lila waliotaka kumbuka.
Nakuomba mama cabana na yule mzee labda dish lilicheza yakamtoka. Tuiachie lagers yao imeumizwa mno na majanga mengi . Tetemeko, ukimwi, MV. BUKOBA, MNYAUKO elinino haya yote yamepita, bado hii adhabu ya kumegwa , wanakagera wamekataa, msilete chuki hata kama Tanzania ni moja
View attachment 2023247
Tutafanya maamuzi magumu ya kujiondoa TanzaniaHawa jamaa wanashangaza kweli miaka yote kagera imepata matatizo serikali kimya, leo imepatikana neema ya madini ambayo itaenda kuboost uchumi na maendeleo ya mkoa kwa ujumla, eti mkoa umegwe, sijawahi kuelewa hii serikali ina agenda gani ya siri kuhusu huu mkoa, kiukweli hatutakubali.
Kabisa na uzuri wananchi wameanza kushutukia mchezo.Tutafanya maamuzi magumu ya kujiondoa Tanzania
Huu mkoa amini unawaambia huwa unakwamishwa kwa makusudi usiwe na maendeleo alafu anatoka tujitu tunasema wahaya hawapendi kwao wakati wanahujumiwa lila idara.Kabisa na uzuri wananchi wameanza kushutukia mchezo.
Hayo mapato yatapatikana baada ya uchimbaji wa madini ya Nickel, kwahiyo kama mkoa utamegwa hayo mapato yataenda mkoa wa chato, hicho ndicho wahaya wanapinga, miaka yote walikuwa wapi kisa madini ndiyo wametaka kujitenga.Iwapo kama hela zote hizo zinabaki Kagera nafikiri wangekuwa hawana matatizo yote hayo yanayowapitia
Tangu mzilamkende aseme mto ngono kwenu, ukimwi kwenu, tetemeko kwenu, mvInaonekana wewe mleta uzi una mlengo wako tena wa kupinga mkoa mpya wa Chato,naona utetezi wako unajidhihirisha
Yanasaidia ujenzi wa miundo mbinu, ikitokea bajeti fulani na mkoa kafanya vizuri kwa makusanyo kuna pesa inabaki kusaidia kuondoa umaskini kuliko mkoa usiozalisha kitu.
Hilo mbona linajulikana kitambo, labda kama upeo wa akili ni mdogo, ndo huwezi kulingamua hilo.Huu mkoa amini unawaambia huwa unakwamishwa kwa makusudi usiwe na maendeleo alafu anatoka tujitu tunasema wahaya hawapendi kwao wakati wanahujumiwa lila idara.
Serikali ndiyo inakwamisha mradi wa stendi tena maksudi.Iyo hela yote wameshindwa kujenga ata stendi ya mabasi
Kiukweli tangia siku hiyo hadi leo hamna muhaya timamu aliyemkubali tena. Kwa nickel hatutakubali lazima madini yabaki kagera.Tangu mzilamkende aseme mto ngono kwenu, ukimwi kwenu, tetemeko kwenu, mv
Bukoba kwenu, alafu hela za wafadhili zikapokonywa?!! Bado Nickel ya Kabanga inaleta shida
Bora kagera ingekuwa nchi kwani kwa ukubwa unazidi Rwanda na burundi kuliko manyanyaso haya inayopitia, haiwezekani inapakana na nchi nne bado ni maskini. Haya matendo Mungu anawaona chuki zidi ya mkoa huu zinazidi jamaniKiukweli tangia siku hiyo hadi leo hamna muhaya timamu aliyemkubali tena. Kwa nickel hatutakubali lazima madini yabaki kagera.
Tangu mzilamkende aseme mto ngono kwenu, ukimwi kwenu, tetemeko kwenu, mv
Bukoba kwenu, alafu hela za wafadhili zikapokonywa?!! Bado Nickel ya Kabanga inaleta shida
Hayo mapato yatapatikana baada ya uchimbaji wa madini ya Nickel, kwahiyo kama mkoa utamegwa hayo mapato yataenda mkoa wa chato, hicho ndicho wahaya wanapinga, miaka yote walikuwa wapi kisa madini ndiyo wametaka kujitenga.
Serikali ndiyo inakwamisha mradi wa stendi tena maksudi.
Tazama mchoro wa stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoani Bukoba itakayojengwa muda si mrefu
Habari zenu wanajamvi kumekuwa na malalamishi kwa uchakavu na ubovu Wa stendi ya mabasi mjini bukoba.ila sasa tatizo limeanza kutatuliwa baada ya halmashauri kutenga kiasi kikubwa cha pesa kutakachojenga stendi nyingine mpya takriban km5 nje ya mji Wa bukoba katikati maeneo ya kyakairabwa uganda...www.jamiiforums.com