wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Boss wako wa Chato wkt akiwa hai ulifyata mkia khs Jambo hili Balaa. 😄😄Napinga mkoa wetu kuzidi kupasuliwa. Hili tutapiga kelele hadi masikio yao yaelewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boss wako wa Chato wkt akiwa hai ulifyata mkia khs Jambo hili Balaa. 😄😄Napinga mkoa wetu kuzidi kupasuliwa. Hili tutapiga kelele hadi masikio yao yaelewe.
Ndugu iwe Bukoba, Ngara au Biharamulo yote hiyo ni Kagera.kumbe shida ni mapato ya madini ya kabanga nichael .Ndo wahaya waote walikuwa wnapinga wilaya ya biaharmulo inayopakan na Chato pamoja na Ngara kutengeneza mkoa wa chato..Yaani wahaya wanakomaa kama hizo nichael zitaleta maendeleo Bukoba kuliko ngara na biharamulo
Kwani hawaishi, au kuna tabu gani?Mto ngono nyinyi,ukimwi nyinyi,katerero nyinyi, Tetemeko nyinyi na Sasa wanawachukulia pesa zenu za madini Tena.
Iweeeeeeeeeeeeeeeeessdd
Tunarudi kule kule,ni wazi comments zako za kipuuzi zinasukumwa na chuki zako binafsi kuhusu kabila la Wahaya - hilo linajulikana na mko wengi tu - chuki chuki tu zisizo kuwa na kichwa wala miguu!!! Nani kakwambia Mkoa wa Kagera wakazi wake ni Wahaya tu?kumbe shida ni mapato ya madini ya kabanga nichael .Ndo wahaya waote walikuwa wnapinga wilaya ya biaharmulo inayopakan na Chato pamoja na Ngara kutengeneza mkoa wa chato..Yaani wahaya wanakomaa kama hizo nichael zitaleta maendeleo Bukoba kuliko ngara na biharamulo
Siku ya gulio KatereroKwa sababu ni wagumu kumeguka
MajorityTunarudi kule kule,ni wazi comments zako za kipuuzi zinasukumwa na chuki zako binafsi kuhusu kabila la Wahaya - hilo linajulikana na mko wengi tu - chuki chuki tu zisizo kuwa na kichwa wala miguu!!! Nani kakwambia Mkoa wa Kagera wakazi wake ni Wahaya tu?
Stupid madini yanawenyewe labda magu angekuqa hai ndiyo yangekuwa yenuMpumbavu ni wewe unaye tumia nomadic brain kufikiri, hapa unaona umefikiri, bogus kabisa.
Neno stupid utumiwa na MTU mwenye "PARODIC" ya ubongo, kwahiyo sikushangai.Yanabaki kwa Wahaya na hamna cha kutufanya.Stupid madini yanawenyewe labda magu angekuqa hai ndiyo yangekuwa yenu
Hizo chuki kwa wahaya zitawaua badilikeni. Tunaomba ukatujengee mkuu.Hizo hela kama.mlikua mnazipata mmezifanyia nini nyie mafisadi wa kihaya..kama ka stendi kenu kamenyata kama upo vichochoroni..wahaya hua mna roho mbaya ya wivu na chuki zisizo sababu.
#MaendeleoHayanaChama
Tuko vizuri, wafanye waliyotumwa na Watanzania na si ajenda za kuchomekea. Hata wana Chato wanashangaa.
Huu mkakati hatutakubali! Hauna mantiki kabisa. Lini hii imekuwa ajenda ya wana Chato? Hata JPM alipinga utitiri wa mikoa! Waunde halmashauri zinatosha maana zile ni mamlaka kamili!Hawa jamaa wanashangaza kweli miaka yote kagera imepata matatizo serikali kimya, leo imepatikana neema ya madini ambayo itaenda kuboost uchumi na maendeleo ya mkoa kwa ujumla, eti mkoa umegwe, sijawahi kuelewa hii serikali ina agenda gani ya siri kuhusu huu mkoa kwa nini wamesubiri madini yalipopatikana miaka yote walikuwa wapi, kiukweli hatutakubali.
Baada ya matukio haya (1962-2021) katika mkoa wa Ziwa Magharibi(Kagera) Serikali ilipaswa kuja na mpango maalumu wa maendeleo katika mkoa huu
Historia ya Mkoa kabla ya Uhuru Kabla ya Uhuru na hadi kufikia mwaka 1961, eneo la sasa la Mkoa wa Kagera, lilikuwa ni moja ya maeneo yaliounda jimbo lililoitwa “Lake Province”. Jimbo hili lilijumuisha Wilaya za Bukoba, Musoma, Shinyanga na Tabora. Baada ya uhuru mwaka 1962 mkoa ulibadilishwa...www.jamiiforums.com
Hivi hizo fedha za ujenzi wa standi zinazo tengwa kila mwaka utumika kufanya projects gani Mkoani au uludishwa Serikalini - mbona standi za mabasi mkoani Morogoro, Kahama, Lindi, Mtwara, Dar, Moshi,Arusha, Chato, Mwanza, Shinyanga zilijengwa fasta na ni za kisasa kabisa - Mkoa wa Kagera wenye wakazi zaidi ya millioni NNE unatelekezwa kimakusudi wakati ni Mkoa wa pili Tanzania kwa population kubwa nyuma ya Mkoa wa Mwanza - manispaa ya Bukoba kama mahame vile, Soko lenyewe tangu utawala wa ukoloni wa Kijerumani, Hospitali ya Mkoa adithi ni zile zile ilijengwa wakati wa utawala wa Kijerumani haina hadhi hata ya kuitwa Hospitali kuu ya Mkoa, hawajali kwamba Mkoa una wakazi wanao zidi million NNE, tukija jengo la Mahakama kuu ya Mkoa ni aibu tupu,sasa jaribu ku linganisha na Mahakama Kuu ya Mkoa wa Kigoma ni kama kulinganisha Mbingu na Dunia, MTU unabaki unajiuliza maswali mengi - hivi ni vigezo gani utumiwa kufanya upendeleo wa wazi wazi wa baadhi ya Mikoa na kutelekeza baadhi ya Mikoa, ebu jaribu kufatilia kwa umakini zaidi kasi ya maendeleo yanayo tekelezwa kwenye baadhi ya mikoa waliko zaliwa baadhi ya Viongozi wetu hapa Nchini - utashangaa sana, sisemi haya kwa nia mbaya lakini ni vema wajirudi kidogo otherwise wata set a very bad precedence, binafsi naona kuna umuhimu wa kujifunza kutoka kwa viongozi walio watangulia, mfano mzuri ukiwa na waheshimiwa:Baba wa Taifa alikuwa na uwezo mkubwa wa kupendelea Mkoa wake na kijiji aliko zaliwa lakini hakufanya hivyo, Mzee Ali Hassani Mwinyi hivyo hivyo, Mzee Mkapa tuliona wakati wa mazishi Lupaso ni sawa sawa na vijiji vingine hapa Tanzania, haya tuje kwa Wilaya aliyo zaliwa Jakaya Kikwete, panaonekana ni kawaida tu.Hawaja shindwa kujenga hizo ni njama za serikali ndiyo inakwamisha mradi wa stendi mbona kila kitu kilishawekwa wazi kuhusu stendi au hujuhi.
Serikali inayajua yote hayo,Lengo la serikali ni kuhakikisha mkoa unabaki pale pale kwa lengo lao ambalo siwezi liandika hapa, Kagera hata iwe na maendeleo kiasi gani au ichangie GDP kiasi gani utakaa uone imetoka kwenye ORODHA ya mikoa masikini, huo ni mkakati ulisukwa na ukasukika. Miradi yote ya kagera inayotaka kuleta mapinduzi ya maendeleo ukwamishwa makusudi. Mpango wa mkoa wa chato ni Serikali na wala sio takwa la watu wa Biharamulo na Ngara, lengo lao madini yasibaki mkoa wa KAGERA. Kagera zaidi 80% uchumi wake unategemea Uganda na huduma au bidhaa wanazotumia ni za Uganda hata umeme kagera inatumia wa kutoka Uganda Kwa asilimia kubwa, JPM alikuwa amepiga marufuku kuuza kahawa Uganda hali ilikuwa mbaya.Hivi hizo fedha za ujenzi wa standi zinazo tengwa kila mwaka utumika kufanya projects gani Mkoani au uludishwa Serikalini - mbona standi za mabasi mkoani Morogoro, Kahama, Lindi, Mtwara, Dar, Moshi,Arusha, Chato, Mwanza, Shinyanga zilijengwa fasta na ni za kisasa kabisa - Mkoa wa Kagera wenye wakazi zaidi ya millioni NNE unatekekezwa kimakusudi wakati ni Mkoa wa pili Tanzania kwa population kubwa nyuma ya Mkoa wa Mwanza - manispaa ya Bukoba kama mahame vile, Soko lenyewe tangu utawala wa ukoloni wa Kijerumani, Hospitali ya Mkoa adithi ni zile zile ilijengwa wakati wa utawala wa Kijerumani haina hadhi hata ya kuitwa Hospitali kuu ya Mkoa, hawajali kwamba Mkoa una wakazi wanao zidi million NNE, tukija jengo la Mahakama kuu ya Mkoa ni aibu tupu, linganisha na Mahakama Kuu ya Mkoa wa Kigoma, MTU unabaki unajiuliza maswali mengi - hivi ni vigezo gani vinatumika kufanya upendeleo wa baadhi ya Mikoa na kutelekeza baadhi ya Mikoa jaribu kufatikia kwa umakini zaidi kasi ya maendeleo yanayo tekelezwa kwenye baadhi ya mikoa waliko zaliwa baadhi ya Viongozi wetu - utashangaa sana sisemi haya kwa nia mbaya lakini wanashindwa nini kuwaiga akina Baba wa Taifa, Mzee Ali Hassani Mwinyi, Mzee Mkapa na Jakaya Kikwete. Kwa bahati nzuri Madam President kazaliwa visiwani, ndio maana siku hizi hata fedha za kuendeleza Mikoa zinagawiwa bila ya upendeleo ya kutaka kukomoa baadhi ya Mikoa kwa kuitelekeza kimakusudi, sisemi mambo ya kutunga hapa, nimuombe Rais Samia akifanya ziara katika manispaa ya Bukoba apange kutembelea Stand ya mabasi katikati ya mjini, Sokoni, Police Central, Govt Hospital, jengo la Mahakama kuu, Regional Admin Block, barabara za mjini ziko hali?
Ukweli wa mambo ntarudia kueleza hapa kwamba: Regional Admn.Block ilijengwa wakati was utawala wa Waingereza, Police Central tangu enzi za utawala wa Waingereza liko vile vile na ukizunguka kuangalia nyuma ya jengo hilo utashangaa, barabara za manispaa zimekwanguliwa na kuachwa vumbi tupu huku viongozi wote wa Mkoa wanapitia kwenye barabara hizo hizo lakini hakuna hatuwa yoyote inayo chukuliwa ku reverse mambo.
Haina mantiki kwa nini uje sasa hivi madini yalivyopatikana.Huu mkakati hatutakubali! Hauna mantiki kabisa. Lini hii imekuwa ajenda ya wana Chato? Hata JPM alipinga utitiri wa mikoa! Waunde halmashauri zinatosha maana zile ni mamlaka kamili!
Tatizo halmashauri zimepokwa kinyemela mamlaka zao. Zijengewe uwezo wajisimamie. Tatizo ni siasa siasa tu, madiwani kule nao ni siasa tu! Lazima tuwe na strong multiparty system ambayo wanasiasa watasimamiana wenyewe na kujenga displine kila upande.
Madini ya wahaya ni kujiuza kimbokaNeno stupid utumiwa na MTU mwenye "PARODIC" ya ubongo, kwahiyo sikushangai.Yanabaki kwa Wahaya na hamna cha kutufanya.
Mkuu nakumbuka sana mradi wa Mto Ngono ulivyo pigwa chini kiaina, licha ya kupata wafadhili kutoka Sweden - Sokoine kaingia Bungeni kwa kuzuga kwamba Serikali itashughulukia mradi huo hivyo hakuna haja mataifa ya Scandinavian kushugulika na mradi huo, watu wenye akili walijuwa ndio basi tena, na kweli mradi ukafa kifo cha mende, bottom line, is: Sokoine was not alone katika crusade hiyo, mbinu hizi bado zinakuwa carried forward latently mpaka leo.Serikali inayajua yote hayo,Lengo la serikali ni kuhakikisha mkoa unabaki pale pale kwa lengo lao ambalo siwezi liandika hapa, Kagera hata iwe na maendeleo kiasi gani au ichangie GDP kiasi gani utakaa uone imetoka kwenye ORODHA ya mikoa masikini, huo ni mkakati ulisukwa na ukasukika. Miradi yote ya kagera inayotaka kuleta mapinduzi ya maendeleo ukwamishwa makusudi. Mpango wa mkoa wa chato ni Serikali na wala sio takwa la watu wa Biharamulo na Ngara, lengo lao madini yasibaki mkoa wa KAGERA. Kagera zaidi 80% uchumi wake unategemea Uganda na huduma au bidhaa wanazotumia ni za Uganda hata umeme kagera inatumia wa kutoka Uganda Kwa asilimia kubwa, JPM alikuwa amepiga marufuku kuuza kahawa Uganda hali ilikuwa mbaya.
Nafurahi sana ninapokutana na watu kama wewe ambao wanajua mkoa wa kagera na fitina zake, waga napata maarifa ya ziada. Kuhusu suala la chuo ndiyo usiseme kabisa, mpaka leo serikali imeendelea kukataa, Ila uzuri wahaya wameshutukia na kuanza kuzijua hila za serikali kuhusu mkoa wa Kagera, Kwa sasa profs associate baadhi yao wameandika waraka wa kutaka kuanzisha chuo, ila sizani kama watafanikiwa kwa sababu vita yake ni kubwa na mbaya zaidi watendaji wengi wa serikali Kagera ni watu wenye kinyongo sana na Wahaya kwahiyo wanakwamisha mipango mingi makusudi, kuna engineer mmoja alipewa mradi wa maji Muleba alisikika akisema kabisa "lazima niwaonyeshe hawa wahaya si wanajifanya wasomi"na kweli ule mradi umehujumiwa mpaka leo na ushahidi upo na video zipo, atashughulikiwa mpaka akubali hatuwezi kuendelea kurudishwa nyuma na watu wachache.Mkuu nakumbuka sana mradi wa Mto Ngono ulivyo pigwa chini kiaina, licha ya kupata wafadhili kutoka Sweden - Sokoine kaingia Bungeni kwa kuzuga kwamba Serikali itashughulukia mradi huo hivyo hakuna haja nataifa ya Scandinavian kushugulika na mradi huo, watu wenye akili walijuwa ndio basis tu, na kweli ukafa kifo cha mende, bottom line, is: Sokoine was not alone katika crusade hiyo, mbinu hizi bado zinakuwa carried forward latently mpaka leo - kisa kingine cha kusikitisha kinahusu uanzishaji wa University of Bukoba, Waziri was Elimu wa wakati huo Mh.Ngwandu aliipiga vita kweli kweli kwa kumanufacture lame excuses licha ya Chuo kuwa na majengo na ma lecturers wenye viwango, kaingia Bungeni akaanza kubeza beza University of Bukoba, anayasema hayo lakini suala la uanzishaji wa Chuo kikuu cha tiba cha Wahidi UMTI ambacho kilikuwa na walakini mkubwa na kilikuwa kitumie majengo mawili tu ya NDC hilo Ngwandu hakulizungumzia alikaa kimya - mawazo yake yote yalilenga kuzima uanzishwaji wa Chuo kikuu cha Bukoba - vita hii inaendelezwa mpaka leo hata matawi ya Vyuo Vikuu vya taasisi za Dini navyo vinefungiwa kwa kisingizio eti vineshindwa kukidhi vigezo - ulaghai mtupu.