Artificial intelligence
JF-Expert Member
- Jan 28, 2021
- 1,265
- 2,252
Uzuri ni kwamba wameanza kufunguka kiakili na kutambua hizo njama, kwahiyo muda utafika.Bora kagera ingekuwa nchi kwani kwa ukubwa unazidi Rwanda na burundi kuliko manyanyaso haya inayopitia, haiwezekani inapakana na nchi nne bado ni maskini. Haya matendo Mungu anawaona chuki zidi ya mkoa huu zinazidi jamani
Mchoro ndiyo huoTanganya toto huo mchoro wa stendi au nyumba za kuishi
Hata kabla ya vita, mkoa ulikuwa na maendeleo ya kutosha. Serikali ikaanza sarakasi waliogopwa sana na JN. Matatizo iliyokutana nayo kagera hakuna mkoa unaoweza kukutana nayo ukasimama hata Dar es salaam haiwezi.Kama Wahaya waliyeyusha chuma miaka 2000 na ushee iliyopita na pia kumzidi akili hata mzungu kwa kuvumbua hilo
Hapo tunaona kabisa Wahaya wanahujumiwa kila kona
Hawa jamaa walikuwa na Akili sana ila kuna kitu wanafanyiwa
Haiwezekani matatizo yote kwao tu na bado wakasimangwa na kupigwa hela zao za msaada
Hiyo ndiyo shida japo watakwepa kusema, Ila nikwamba sababu kubwa ya kujitenga ni madini ya NICKEL. Miaka yote walikuwa wapi, lazima madini yabaki kagera.Kwa hilo wana haki ya hata kupigana sio kupinga tu
Roho mbaya baina yetu ndio inatufanya waafrika tusifike mahali popote
Kwahiyo hujuhi kwamba Ngara na Biharamulo ni wilaya za Kagera.Hamna hicho kitu, wilaya ndiyo zinakusanya fedha fulani, na kodi fulani. Mikoa haipati kitu.
Nshomile kwisha tambo zao wanajifanya bila wao hakuna kagera sasa wamekamatwa balls wanalialia tuWana Jf,
Kama utabiri ukitokea uenda Kagera ikapoteza fedha nyingi kwa kile tunachokiita upuuzi wa mwombolezaji mmoja toka Chato. Chato imebebwa na Kagera miaka mingi tangia falme mpaka kuwa wilaya kamili. Sasa hawa jamaa wanaleta unazi kuwa kila kiongozi mkuu apewe anachohitaji, kwa njia hii tutakuwa na mikoa mia moja yaani.
Ona sasa Kagera inaenda kupoteza million 53.4. Alafu mje meme wahaya hawapendi kujenga kwao kumbe wanahujumiwa lila waliotaka kumbuka.
Nakuomba mama cabana na yule mzee labda dish lilicheza yakamtoka. Tuiachie lagers yao imeumizwa mno na majanga mengi . Tetemeko, ukimwi, MV. BUKOBA, MNYAUKO elinino haya yote yamepita, bado hii adhabu ya kumegwa , wanakagera wamekataa, msilete chuki hata kama Tanzania ni moja
View attachment 2023247
Ndizi zitaendelea kuuzwa, kahawa itaendelea kuuzwa na madini ya NICKEL pia yatabaki kagera na yatauzwa pia hamna cha mkoa wa chato hapa.Nshomile kwisha tambo zao wanajifanya bila wao hakuna kagera sasa wamekamatwa balls wanalialia tu
Wakauze ndizi na kahawa wapate hizo billion
USSR
Si inamegwa na watu wake kwani inachukuliwa na watu kufukuzwaWana Jf,
Kama utabiri ukitokea uenda Kagera ikapoteza fedha nyingi kwa kile tunachokiita upuuzi wa mwombolezaji mmoja toka Chato. Chato imebebwa na Kagera miaka mingi tangia falme mpaka kuwa wilaya kamili. Sasa hawa jamaa wanaleta unazi kuwa kila kiongozi mkuu apewe anachohitaji, kwa njia hii tutakuwa na mikoa mia moja yaani.
Ona sasa Kagera inaenda kupoteza million 53.4. Alafu mje meme wahaya hawapendi kujenga kwao kumbe wanahujumiwa lila waliotaka kumbuka.
Nakuomba mama cabana na yule mzee labda dish lilicheza yakamtoka. Tuiachie lagers yao imeumizwa mno na majanga mengi . Tetemeko, ukimwi, MV. BUKOBA, MNYAUKO elinino haya yote yamepita, bado hii adhabu ya kumegwa , wanakagera wamekataa, msilete chuki hata kama Tanzania ni moja
View attachment 2023247
Nani kakudanganya, inamegwa na serikali.Si inamegwa na watu wake kwani inachukuliwa na watu kufukuzwa
Ndiyo hivyo ikimegwa watu wanaoishi humo wanafukuzwa ? Kama awafukuzi basi nisawa tuNani kakudanganya, inamegwa na serikali.
Miaka yote walikuwa wapi Kwa nini wasubiri madini yalivyopatikana.Ndiyo hivyo ikimegwa watu wanaoishi humo wanafukuzwa ? Kama awafukuzi basi nisawa tu
Hata kabla ya vita, mkoa ulikuwa na maendeleo ya kutosha. Serikali ikaanza sarakasi waliogopwa sana na JN. Matatizo iliyokutana nayo kagera hakuna mkoa unaoweza kukutana nayo ukasimama hata Dar es salaam haiwezi.
Hawaja shindwa kujenga hizo ni njama za serikali ndiyo inakwamisha mradi wa stendi mbona kila kitu kilishawekwa wazi kuhusu stendi au hujuhi.Bilioni zote hizo hata stend ya mabasi na soko wameshindwa kujenga? Mzee BIgambo wamege hawa wahaya hawana shukrani, mkimaliza kuwamega na sisi wa ng'mbo ya mto Kagera tunajimega kurudi kwa Kaguta Musseveni, mto Kagera ndio mpaka sahihi.
Bado wana zile elements za kwamba wakiinuliwa sana, watataka kujitenga. Wee si unaona hata kibano kilianzia kwenye elimu, pass mark za mkoa wa Kagera ziko juu kuliko mikoa yote.Wana akili ya kuzaliwa na wakiwa wamoja wanaweza kufanya zaidi ingawa huwa wanaonekana ni tishio sijui kwanini
Hata Ha wa KG walisahauliwa sana tangu uhuru na mpaka leo wote wanaonekana ni Rundi tribe tu
Ingawa mzungu ndio alitukatakata na kuweka mipaka ila hatuoni kuwa sisi ni wamoja hata tufanyeje
Leo kila mmoja akipimwa DNA na kutafutwa asili yake wengine tutakutwa tuna asili ya Cameroon
Mumekomalia stendi tu, hata hivyo hajasema kila mwaka wanapata billion 53, hiyo hella itapatikana baada ya kuanza kuuza madini ya NICKEL, ndiyo maana wahaya wanapinga kumega kagera, kwa sababu hayo mapato yote yatabaki kagera.Sasa kaka kila mwaka wanapat bilioni 53, miak yote hiyo wakashindwa kujenga hata stendi ya maana!!?
Mkuu umesoma vizuri kilichoandikwa, we unasema hiyo hela itaanza kupatikana kwa kuuza nickel, wakati imeandikwa ni hela inayopatikana kwa mauzo ya dhahabu,Mumekomalia stendi tu, hata hivyo hajasema kila mwaka wanapata billion 53, hiyo hella itapatikana baada ya kuanza kuuza madini ya NICKEL, ndiyo maana wahaya wanapinga kumega kagera, kwa sababu hayo mapato yote yatabaki kagera.
Mimi nimesoma vizuri ndugu, hata mleta mada kasema hivyo. Isome vizuri.Mkuu umesoma vizuri kilichoandikwa, we unasema hiyo hela itaanza kupatikana kwa kuuza nickel, wakati imeandikwa ni hela inayopatikana kwa mauzo ya dhahabu,
Soma tena.