Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Bukoba vijijini na Kyerwa unawachukuliaje?Jimbo lenye ushindani ni Bukoba Mjini Tu, mengine CCM wanapeta kama ilivyo miaka yote.
Sawa wamekamatwa, sie wajumbe tufanyeje?
Bukoba Vijijini upinzani hauna nguvu, Kyerwa hawakupaswa kumsimamisha Anatropia.Bukoba vijijini na kyerwa unawachukuliaje?
MABOMU YAMEENZA MUDA HUUNani kashinda bukoba mjini?