Uchaguzi 2020 Kagera: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

Uchaguzi 2020 Kagera: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

BUKOBA MABOMU YAANZA KURINDIMA USIKU HUU
Duuu!!

Itakuwa bodaboda hao.
Wanatumiwa kisiasa Sana hapo mjini bukoba .

Ndo maana manispaa imeshindwa kurudisha daladala licha ya mji kuwa na 250k peope
 
Nani anaongoza mpaka sasa? Bodaboda nasikia wanatumika, ni kweli?
Wanatumika Sana kisiasa. Na ndo wanaidumaza bk.

Mji huu ulipaswa kuwa na daladala lakini Kwa kuogopa kupoteza Kura za bodaboda .hawataki kusajiri daladala katika mji huu na kuendelea kutesa wananchi
 
Bodaboda wasiofika hata elfu tano inakuwaje wanaogopwa?

Wanatumika Sana kisiasa. Na ndo wanaidumaza bk.

Mji huu ulipaswa kuwa na daladala lakini Kwa kuogopa kupoteza Kura za bodaboda .hawataki kusajiri daladala katika mji huu na kuendelea kutesa wananchi
 
CCM wamelichukua Jimbo la bukoba mjini.

Watu wanashangilia
FB_IMG_16039466767434683.jpg
FB_IMG_16039467002997012.jpg
FB_IMG_16039466817555393.jpg
FB_IMG_16039467049945451.jpg
 
Ni kweli mkuu na ccm imepoteza kata moja tu kati ya kata zote zilizopo.
Naiona Kijani pekee ikitawala Bunge letu, hii ni historia Nayo

Ni wapi wapinzani walikosea?
Kuejeli kila kitu kilichofanywa na JPM ndio Adhabu yao??

Mimi buana ni mshabiki wa siasa za kistarabu, Mbowe ameniuma Sana kutokuwemo bungeni aisee
 
Hakuna lolote wizi wa kura, CCM is still unpopular
 
Hahaaa kuna watu walimpamba Sana huyo chief kalumuna..lkn chali..tweshemeze bukoba!
 
Back
Top Bottom