Duuu!!BUKOBA MABOMU YAANZA KURINDIMA USIKU HUU
Pole sana...iyena iyena CCM nambari one.
Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Wanatumika Sana kisiasa. Na ndo wanaidumaza bk.Nani anaongoza mpaka sasa? Bodaboda nasikia wanatumika, ni kweli?
Wanatumika Sana kisiasa. Na ndo wanaidumaza bk.
Mji huu ulipaswa kuwa na daladala lakini Kwa kuogopa kupoteza Kura za bodaboda .hawataki kusajiri daladala katika mji huu na kuendelea kutesa wananchi
Mkuu ya kweli haya?CCM wamelichukua Jimbo la bukoba mjini.
Watu wanashangiliaView attachment 1615265View attachment 1615266View attachment 1615267View attachment 1615268
Ni kweli mkuu na CCM imepoteza kata moja tu kati ya kata zote zilizopo.Mkuu ya kweli haya?
Naiona Kijani pekee ikitawala Bunge letu, hii ni historia NayoNi kweli mkuu na ccm imepoteza kata moja tu kati ya kata zote zilizopo.
Kata gani hiyo mkuuNi kweli mkuu na ccm imepoteza kata moja tu kati ya kata zote zilizopo.
Hakuna lolote wizi wa kura, CCM is still unpopularNaiona Kijani pekee ikitawala Bunge letu, hii ni historia Nayo
Ni wapi wapinzani walikosea?
Kuejeli kila kitu kilichofanywa na JPM ndio Adhabu yao??
Mimi buana ni mshabiki wa siasa za kistarabu, Mbowe ameniuma Sana kutokuwemo bungeni aisee
Kata ya Kagondo mkuu ukitoka Rwamishenye!Kata gani hiyo mkuu
Hiyo kata si ndo aligombea Yule aliyekuww meya akagombana na mbunge?Kata ya kagondo mkuu ukitoka rwamishenye!
ByabatoNani kashinda bukoba mjini?
ByabatoTupeni matokeo basi
Byabato
Sijajua. Ila naona maandamano ya ushindi mji mzimaKapata kura ngapi?