Ni kweli kabisa, hata Mimi ningekuwa nazi sign haraka sana maana Kama hujamsingizia mtu utaogopaje ku sign? Watakao kuwa wamesingizia ndo watabeba hizo lawama maana mpaka kesi iishe imepita kwenye vitengo vinavyohusika na kufatilia ukatili Kama huo na kusign hao wauaji wanyongwe nikuokoa jamii Ili isidhulike na watu wabaya Kama hao sasa uogope kusign na uje utangazie makatili kwamba naogopa kusign hiyo siyo sawa kabisa, makatili hawasitahili kuishi pamoja na viumbe wema ni kunyongwa tu tena haraka bila kupoteza muda.Tukipata rais asiyeogopa ku sign hukumu za kifo itapendeza sana, kuna watu hawafai kuishi