Songa Heri
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,724
- 1,873
Kumbe abahaya mwesherekile kunu ?
Nimbasibokya mwikalege
Nimbasibokya mwikalege
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu bukoba hakuna udongo wa hivyo .udongo wa bukoba unaelekea kuwa mwekundu mfano hapolabda ukadanganye wasiojua Kilimanjaro hakuna mazingira haya,hapo bila shaka n misenyi
Kilimanjaro haina nyumba za nyasi tangu 1986, otherwise useme hapo n kijiji gan/kata gan huwez ji defend kwa hoja finyu.hivyo mkuu
Ati nini ndo mji msafi na hiyo ninin changamoto ndogo za msimu wa mvua
moshi ndio mji msafi kuliko.yote tz
Nilishakuambia bora mkaitwa maskini ili muendelee kuchuma MTU utakuwa mjinga kusikia anasema vijiji vya wahaya yaani misenyi,bukoba vijijini na muleba vinazidiwa na vya mwanza, singida,pwani,Dodoma,morogoro,nk eti vya kagera ni umaskini zaidi ulishasikia kagera wanalalamika njaa . kuna vitu vya kuwapongeza watu wa kagera kwanza vile vita vilivyopigiwa mkoa mmoja,MV bukoba na tetemeko lakini bado mkoa umesimama imara na panazidi kupendeza tu .kujisifia eti tumeendelea serikali itawaacha na kuendeleza pengine kama walivyoifanya kageraMBNA takwimu zinasema hivyo kadanganya wapi huyu luambo?
ndo kwetuKyamtwara-Karabagaine
Wanshekya muno (umenichekesha sana)Ninkugonza nkushenkenyule katerelo
Toli wa Kyaka iwe? Omubashuma bente??Wakola waitu, owaitu ni Missenyi
mkuu utafiti hupingwa kwa utafitiNilishakuambia bora mkaitwa maskini ili muendelee kuchuma MTU utakuwa mjinga kusikia anasema vijiji vya wahaya yaani misenyi,bukoba vijijini na muleba vinazidiwa na vya mwanza, singida,pwani,Dodoma,morogoro,nk eti vya kagera ni umaskini zaidi ulishasikia kagera wanalalamika njaa . kuna vitu vya kuwapongeza watu wa kagera kwanza vile vita vilivyopigiwa mkoa mmoja,MV bukoba na tetemeko lakini bado mkoa umesimama imara na panazidi kupendeza tu .kujisifia DTI tumeendelea serikali itawaacha na kuendeleza pengine kama walivyoifanya kagera
kawapinge wizara ya afya waliotoa hiyo ripoti ya kwamba moshi n mji msafi kuliko hote tzAti nini ndo mji msafi na hiyo niniView attachment 788286
narudia tena Kilimanjaro hakuna nyumba za nyasi tangu 1986Mkuu bukoba hakuna udongo wa hivyo .udongo wa bukoba unaelekea kuwa mwekundu mfano hapo View attachment 788285
Kilimanjaro hatuna ardhi ya hivyo rudi kajipange upyaNa uduni wa makaZi bukoba huwezi kuta za hivi kama moshi vijijini kama huamini cheki udongoView attachment 786902