instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
Hata kagera ni ya 8 kwa GDPkunA tofauti kati ya gdp na umaskin
mwanza n ya pili kwa GDP ila n ya NNE maskini
Kilimanjaro n ya 7 GDP ila n ya pili wwtu wake kuishi maisha bora
Kilimanjaro nyumba ya kulala mbuz n nzuri kuliko ya kulala binadamu hko kagera au mwnza
daladala zina stimulate uchumi nyie mmekosa ubunifu na kudharau kaz kwa Hall hiyo mtwzd kuwa maskn