Kagera N'Ogimanyage? Isi owanyu nia? - Kagera unaijua vizuri? Kwenu ni wapi?

Wahaya wengi walikua hawapendi kujenga kwao Yani wakitoka kufika mijini huko mtu akapata hela atajenga au kufanya maisha hukohuko.. Walau sikuhizi wanarudi kujenga makwao..

Na ule ulimbukeni sasa muhaya akitoka kidogo tu utamjuaaa haki mtakoma

Cc Smart911
yaan hawathamini nyumbani kwao,waige watu wa Kilimanjaro wanavyothamin kwao yaan kule. kumejengwa majumba ya kifahari migombani huko usipime
 
Hahaha kumbe unapamanya ipasavyo lol.. Nilishangaa sana Yani unaona migomba migomba mingiii ingia huko migombani unakutana na mibongesa ya mijumba lol.
hauwezi kufananisha bk na Kilimanjaro asee

kule Ukitaka kuinjoi jitose weekend nenda zako kampala huko ukale Maisha
hutojuta

bk imechakaa sana wafanye jitihada waondoe aibu hio
 
MBWEMBWE ZOOTE KAGERA NI MKOA WA TATU KWA UMASKINI TANZANIA POOR KBS NYIE WATU MNAACHA KUCHAPA KAZ MNABAKI MKIJIBARAGUZA KUWA N WASOMI KUMBE HAMNA LOLOTE
KAGERA IMECHAKAA HASWAA
Mkuu vipi mbona povu jingi sana kwa watu wa kagera hasa wahaya
 
kwa mujibu wa takwimu za wizara ya fedha,kagera n mkoa wa tatu kwa umaskin
hata kiuhalisia n kweli miundombnu kagera IPO duni,sio mjin wala vijijin mfano kule muleba barabara hovyo vinymba vyw hovyo,bkb vijijin vilevile
pale bukoba mjin tu palivyochakaa inawachoresha sana,mji hauna daladala cjawwh ona KBS
mji hauna hotel hata ya nyota 2 aisee mjenge mkoa wenu achen mbwembwe
What's wrong with you ? Mbona unaongea kwa jazba na chuki .tangia mgalagazwe kwenye Uzi ule wa bukoba vs moshi mna mapovu mengi kweli hata bukoba hupajui
 
una kichaa sio bure yaan kamji kalikochakaa bukoba kaigaragaze jiji tarajali LA moshi? una kichaa sio bure
bukoba ambayo haina hata stand? bukoba ambayo lami INA mabonde? bukoba ambyo haina hata hotel ya nyota 2 zaid ya vi lodge? bukoba ambayo v gest vyake vina makaratas ya nailon kwenye magodoro? hebu acha kujiaibisha mkuu
bk kuifkia mosh lbd miaka 60 mbele
 
Lakini nasikia hakunaga njaa kuleee, shiling tu ndo hamna, ndo wanajibugi hyooooo
 
Mwendo wa maji tu pwaaaaaa pwaaaaaa pwaaaaaaaaa
 
sio povu n ukweli kwan n uongo kuwa kagera n mkoa wa tatu kwa umaskin?
Na je wahaya wanakutwa wapi katika mkoa huo na je ulishafika sehemu za wahaya kwa taarifa yako wanakutwa kwenye wilaya NNE tu kati ya Tisa za mkoa huo nazo ni bukoba mjini,vijijini,muleba na misenyi hebu fuatilia kiwango cha umaskini katika wilaya hizo halafu njoo uje uwatukane wahaya vzr ikishindakana andaa laki mbili kama nauli uje ujionee mwenyewe. Waulize walioshafika wakwambie.route ya Bk nshamba ina daladala 40, Bk mtukula 50,bk muleba hazihesabiki halafu unasema bukoba hakuna daladala unaonekana kichaa si bure
 
Back
Top Bottom