Kagera N'Ogimanyage? Isi owanyu nia? - Kagera unaijua vizuri? Kwenu ni wapi?

labda ukadanganye wasiojua Kilimanjaro hakuna mazingira haya,hapo bila shaka n misenyi
Kilimanjaro haina nyumba za nyasi tangu 1986, otherwise useme hapo n kijiji gan/kata gan huwez ji defend kwa hoja finyu.hivyo mkuu
Mkuu bukoba hakuna udongo wa hivyo .udongo wa bukoba unaelekea kuwa mwekundu mfano hapo
 
MBNA takwimu zinasema hivyo kadanganya wapi huyu luambo?
Nilishakuambia bora mkaitwa maskini ili muendelee kuchuma MTU utakuwa mjinga kusikia anasema vijiji vya wahaya yaani misenyi,bukoba vijijini na muleba vinazidiwa na vya mwanza, singida,pwani,Dodoma,morogoro,nk eti vya kagera ni umaskini zaidi ulishasikia kagera wanalalamika njaa . kuna vitu vya kuwapongeza watu wa kagera kwanza vile vita vilivyopigiwa mkoa mmoja,MV bukoba na tetemeko lakini bado mkoa umesimama imara na panazidi kupendeza tu .kujisifia eti tumeendelea serikali itawaacha na kuendeleza pengine kama walivyoifanya kagera
 
mkuu utafiti hupingwa kwa utafiti
takwimu zinaonyesha mkoa wenu n wa tatu kwa umaskin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…