Kagera: Nyota ya Paul Makonda imewaka tena, apokelewa kwa kishindo Bukoba

Pfizer

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2021
Posts
590
Reaction score
807
Mbegu bora ikipanda lazima iote. Na Mbegu ili iote, inakufa kwanza kisha inachipua na kukua na Kuzaa matunda.


Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi Paul Makonda ni Mbegu ambayo imeota, sasa CCM wanajiandaa kula Matunda yake 2025.

Kwa ziara yake Bukoba, ni dhahiri Makonda ni Baba wa Siasa za Bongo.

Your browser is not able to display this video.

Kapokelewa kwa Kishindo. Wati wengi. Alipendeza na kujiamini.

Mungu azidi kumbariki.

Alitua na ndege kisha kuelekea Makao Makuu wa CCM Mkoa wa Kagera na Sasa anajiandaa kuhutubia Mkutano Mkubwa uwanja wa Mayunga Bukoba Mjini kuanzia saa 10 jioni ya leo

Namtakia kila la heri katika kazi yake ya Siasa.
Your browser is not able to display this video.
 
Ziara hazina maana yoyote...sisu tunataka maendeleo...mtu aende bukoba kufungua stendi ya Bukoba au soko hio ndo ziara sio porojo porojo...

Watz wamechoka na porojo
Mshaurini mama alete katiba mpya sasa, vinginevyo atashangaa Abdul naye analia kama alivyolia Riz. Makonda chuma kimepata joto.
 
Huenda Jiwe alimuachia kizizi , CCM inastruggle Sana kupata mapokeo ya namna hii , hata mama Samia hupata tabu Sana kupata mapokezi ya shangwe , achana na Yale ya kushangaa
 
Mtu pekee aliebaki kwenye awamu hii anaeweza nifanya nikasema mimi ni CCM ni makonda.
 
Zile ziara za liss
Ziara hazina maana yoyote...sisu tunataka maendeleo...mtu aende bukoba kufungua stendi ya Bukoba au soko hio ndo ziara sio porojo porojo...

Watz wamechoka na porojo
Zile ziara za Lissu za kukusanya michangao zina maana gani?
 
Ukisikia mtu anamshabikia Makonda ujuwe ana matatizo kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…