Kagera: Operesheni ya Daka Fursa na Samia (VIDAFUSA) imeanza kwa kishindo

Pfizer

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2021
Posts
819
Reaction score
1,093
Operesheni maalum inayoendeshwa na UVCCM mkoa wa Kagera, iliyopewa jina la Vijana Daka Fursa na Samia [VIDAFUSA] imeanza kwa kishindo katika wilaya ya Kyerwa jana tarehe 20 Februari 2026 kwa kupitia makundi ya vijana walionufaika na mikopo ya halmashauri ya 10% kwa kusikiliza mafanikio na changamoto zao, na kuzitolea majawabu.
Your browser is not able to display this video.

Kamati ya Utekelezaji UVCCM mkoa wa Kagera ikiwa wilaya ya Kyerwa, iliambatana na Afisa Maendeleo ya jamii wilaya ya Kyerwa, watendaji wa kata hizo na maafisa Maendeleo ya jamii wa kata.
 
Wengine mnawadakisha fursa kwa kuwateka, kuwafira na kuwaua.
 
kazi na utu,
Tusonge mbele.

well done dr.Samia suluhu hassan
 
🚮
Muuaji mwenyewe alikuwepo au bado kajificha?
 
Tuliza mihemko nyie watekaji, wauaji na wafiraji wa watanzania, mna laana nyie akina Tlaahtlaah na wenzio
acha porojo nonsense gentleman,
unatafuata kiki kwa uzushi wa kilofa sio JF?
 
acha porojo nonsense gentleman,
unatafuata kiki kwa uzushi wa kilofa sio JF?
Mnavyoteka na kuwaua watanzania na kuwafira ni porojo?
Ni laana kutetea tawala inayodhulumu uhai na utu wa watu wake, kama porojo mbona polisi Kanda maalum, wasemaji wa polisi na serikali hawajakanusha colonel Augustine Polepole kutoa dawa kwa kiongozi wa watekaji na wafiraji wakubwa Faustina Mafwele?
Wewe mbona unatafuta kiki kwa kuwa chawa wa muuaji Samia na huna hata aibu😡😡
 
peleka porojo zako nonsense kwa malofa wenzako gentleman
 

peleka porojo zako nonsense kwa malofa wenzako gentleman
Malofa mnapatikana Lumumba na Chimwaga.
Kuna lofa mkubwa zaidi yako ambaye kila siku unatoa post zaidi ya 100 za kumsifia na kumtetea muuaji Samia?
Hivi siku hizi mnalipwa sh ngapi? Ila rest be assured that your days are numbered, there will be no more utekaji mauaji na ufiraji wenu mbwa nyie. Watanzania tumechoshwa na upumbavu wenu ulioharibu sifa nzuri ya Tanzania
 
calm down with your nonsense gentleman
 
Wawafufue kwanza vijana wetu waliowaua. Huo ujinga mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…