Kwa kweliHapo sasa !!
Mimi huwa nawaza hivyo hivyo!! Hii dunia usiipapatikie saaana mtu ukajiona kama vile umefika !! Hapa ni mapito tu tena hakuna muda maalum tutaondoka tu , haijalishi wewe ni nani na unamiliki vitu gani!! One way ticket inatuhusu sote. !! Tusinyanyase na tusidhalilishe wengine ! Hapa sio Home. !!
Hii comment yako mkuu imenigusa sana.So sad 😢
Kuna wakati huoni faida ya maisha, tunahangaika na maisha ili iweje wakati pumzi ikitolewa hapo unabaki mpweke kaburini 🙆😢😢😢
Mtu ni ROHO anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI.So sad 😢
Kuna wakati huoni faida ya maisha, tunahangaika na maisha ili iweje wakati pumzi ikitolewa hapo unabaki mpweke kaburini 🙆😢😢😢
Hiki ndicho wanaweza. Watu wafe wao watoe ratiba ya kuaga. Bure kabisa serikali ya ccmHivi ndivyo mambo yalivyo leo Novemba 7, 2022 kuhusu utaratibu wa kuaga miili 19 ya watu waliofariki katika ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea jana Noveba 6, 2022 Mkoani Kagera...
Kwahiyo wale wapendwa wetu tuliokuwa tunapiga nao vyombo na wakatutoka wanaweza kutuJoin kumwagilia Moyo?Mtu ni ROHO anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI.
Kwa maana ingine, Mwili ni vazi tu; akivua vazi Hilo la mwili anaendelea kuishi ktk VAZI la kiroho.
Got it?
Baada ya ratiba hii ya kuaga wapendwa wetu imefanya nikumbuke ndugu na Jamaa niliowapoteza.Hii comment yako mkuu imenigusa sana.
Acha mambo hayo.Kwahiyo wale wapendwa wetu tuliokuwa tunapiga nao vyombo na wakatutoka wanaweza kutuJoin kumwagilia Moyo?
Jambo hili linafikirisha sana Kwa kweli 😢
Mbona hawa ndugu zetu huku barabarani na hizi ajali za mabus wanakufa mara kwa mara idadi ya kutisha kuanzia 20 - 30 mara kwa mara...
Mbona hawa ndugu zetu huku barabarani na hizi ajali za mabus wanakufa mara kwa mara idadi ya kutisha kuanzia 20 - 30 mara kwa mara...
Aviation is a global industry. Hapo ndiyo utajua hujui kwamba some born to suffer.
Hivi mbona Ccm mna tuletea siasa kwenye mambo ya msingi?Hivi ndivyo mambo yalivyo leo Novemba 7, 2022 kuhusu utaratibu wa kuaga miili 19 ya watu waliofariki katika ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea jana Noveba 6, 2022 Mkoani Kagera
Inakera na kuchukizaLeo ni hafla yenye majonzi Kwa watanzania wote tukio la Jana kupoteza maisha watu 19 kwenye ndege ya precision air. Baadhi waliokolewa...