Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Uwezo wetu ni mkubwa sana kuandaa matukio yenye kiki, sifa na utukufu kwa watawala.Hapo sasa ndipo utakapowaona watawala wetu na viongozi wengine wa chama na serikali, wakiwa wamevaa suti/nguo zao nyeusi, huku wapita mbele ya majeneza ya marehemu, na nyuso zao za huzuni!
Hapo jina la rais (hata kama hayupo) litatajwa mara nyingi sana na kumwagiwa sifa kemkem!
Hayo tunayaweza sana! Ila yale ya dharura hatuwezi kabisa!