A
Anonymous
Guest
Kuna shule mpya ya Serikali Mkoani Kagera, Halmashauri ya Bukoba Vijijini inaitwa Rubafu Secondary School ipo Kata Rubafu.
Ilifunguliwa ili kuwapunguzia mwendo Wanafunzi wanaotokea Vijiji vya Kyamalange na Rubafu ambao walikuwa wanatembea mwendo mrefu kwenda Katale Secondary School.
Mkuu wa Shule ya Rubafu amekuwa na tabia ya kuwapiga sana Watoto, akiona Mwanafunzi hana uwezo anamtengenezea mazingira magumu ikiwemo adhabu ya viboko na kumlazimisha kusaini ili aache shule akisema hii ni zero.
Hii imesababisha baadhi ya Wanafunzi kuomba kurejea katika Shule ya awali ya Katale, wakiona bora watembee mwendo mrefu kuliko viboko na kulazimishwa kuacha shule.
Nina ndugu yangu mmoja ambaye mtoto wake kalazimishwa kuacha na kalazimishwa, kusaini kwamba ana zero, hana lolote na akiendelea na masomo akafeli atakuwa halali yake kumpa adhabu yoyote.