A
Hapo ukute huyo mkuu wa shule anatafuta sifa za kuifurahisha serikali kuonekana anafaulisha kumbe anaachisha watoto wenye uwezo mdogo shuleKuna shule mpya ya Serikali Mkoani Kagera, Halmashauri ya Bukoba Vijijini inaitwa Rubafu Secondary School ipo Kata Rubafu.
Ilifunguliwa ili kuwapunguzia mwendo Wanafunzi wanaotokea Vijiji vya Kyamalange na Rubafu ambao walikuwa wanatembea mwendo mrefu kwenda Katale Secondary School.
Mkuu wa Shule ya Rubafu amekuwa na tabia ya kuwapiga sana Watoto, akiona Mwanafunzi hana uwezo anamtengenezea mazingira magumu ikiwemo adhabu ya viboko na kumlazimisha kusaini ili aache shule akisema hii ni zero.
Hii imesababisha baadhi ya Wanafunzi kuomba kurejea katika Shule ya awali ya Katale, wakiona bora watembee mwendo mrefu kuliko viboko na kulazimishwa kuacha shule.
Nina ndugu yangu mmoja ambaye mtoto wake kalazimishwa kuacha na kalazimishwa, kusaini kwamba ana zero, hana lolote na akiendelea na masomo akafeli atakuwa halali yake kumpa adhabu yoyote.
Mwamisheni au umasikini ndio kigezo? Anazungumzia Zero au anazungumzia umasikini? Umejiuliza angekua mtoto wa tajiri angemzungumzia hivyo?Nina ndugu yangu mmoja ambaye mtoto wake kalazimishwa kuacha na kalazimishwa, kusaini kwamba ana zero, hana lolote na akiendelea na masomo akafeli atakuwa halali yake kumpa adhabu yoyote.
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza.Nashauri mwanafunzi asichapwe kabisa. Mwalimu afanye kazi yake ya kufundisha tu ili anayestahili kupata zero apate.
Sasa kama wazazi wenyewe walalamika watoto wao kuchapwaJambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza.
"ili anayestahili kupata ziro apate"
Kauli yako hii ni nzuri sana ila ni ya kikanjanja maana wewe mwenyewe utaanza, walimu siku hizi hawafundishi ndio maana hawafaulishi.
Kiufupi, wabongo hamna jema.
Hakuna sheria ya kufukuza mwanafunzi kwa sababu ana zero au uwezo mdogoKama hawataki kusoma ni heri wahamishwe tu kwa Staili hiyo kuliko kuja kuichafua shule baadae ionekane walimu hawatimizi wajibu wao
Kuna shule moja mjini Da'slam imeanza hii mbinu mwaka wa pili huu zero wanazisikia kwenye bomba
Kwa wanaojielewa kupiga mwanafunzi ni marufukuJambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza.
"ili anayestahili kupata ziro apate"
Kauli yako hii ni nzuri sana ila ni ya kikanjanja maana wewe mwenyewe utaanza, walimu siku hizi hawafundishi ndio maana hawafaulishi.
Kiufupi, wabongo hamna jema.