Kagera Sugar 0-1 Young Africa SC | Ligi Kuu Ya NBC | CCM Kirumba Jijini Mwanza

Japo wamefungwa ila kagera wamepiga boli sana. Diara ndio man of the match kawaokoa sana Hawa utopolo leo
 
Uchoyoooooooo Mayele.. Scars wangekuwa wapo mbele ya zaidi ya bao moja kama angeamua kusambaza upendo yaani..!
Bado ana jinqmizi la kiatu cha mwaka jana. Jina lake linaenda kufifia na kupoteaa
 
Sasa kwanzia leo ww ni mwana LUNYASI kweli nimeamini
Nilishangaa ile siku unanishambulia bule kisa mtazamo wangu umekuwa tofauti na Wana Lunyasi wengine...
Hakuna timu nisiyoipenda kama hawa Wala mihogo..
Leo wamepata bahati tu ila Kagera wamewapelekea moto paka hawaaamini kama wameshinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…