Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
Hongera Yanga, mazingira yalikuwa magumu sana lkn mmelinda goli. Man of the match "Screen Protector"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe Mbwa Aka [emoji240] bado upo?Japo wamefungwa ila kagera wamepiga boli sana. Diara ndio man of the match kawaokoa sana Hawa utopolo leo
Tulia MBWANgoja lije kushangilia tena litajuta.. Banda Zima tumelimaind kinoma Kwa umbwiga wake
Dakika ni 100 mpaka sasaGoli lipo kabisa hapa mkuu. We subili
Diara ndio number one kwa sasa, huyo Aishi sijui Aisha limebakia jina tuJapo wamefungwa ila kagera wamepiga boli sana. Diara ndio man of the match kawaokoa sana Hawa utopolo leo
Mmeponea chupuchupu... Wanasema mmeponea tundu la sindanoDakika ni 100 mpaka sasa
Sasa kwanzia leo ww ni mwana LUNYASI kweli nimeaminiJapo wamefungwa ila kagera wamepiga boli sana. Diara ndio man of the match kawaokoa sana Hawa utopolo leo
Wewe [emoji240]🦺🦮[emoji240]🦺🦮[emoji240]🦺🦮[emoji240]🦺🦮uje ubweke huku mpira umeisha.Kagera wasipochomoa mniite[emoji240]🦺[emoji240]🦺[emoji240]🦺[emoji240]🦺 nimekaa [emoji117][emoji117][emoji117]🪑
Sasa manula ameingiaje Tena hapa wakati ni Kagera vs YangaDiara ndio number one kwa sasa, huyo Aishi sijui Aisha limebakia jina tu
Umesikia kutoka kwa Mwamedi au kwa Barba?Marefa nasikia sasa wameshtuka maana bahasha za GSM zinawafanya wafungiwe vifungo virefu.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Ww Mbwa uliekaa pale TuliaSasa manula ameingiaje Tena hapa wakati ni Kagera vs Yanga
We mbwa endelea kuumia mbwa .Japo wamefungwa ila kagera wamepiga boli sana. Diara ndio man of the match kawaokoa sana Hawa utopolo leo
Tunatafuta mlinda mlango wa Taifa Stars ALIYE BORA KWA SASA, tuachane na mbwembwe Barbara, hiusegirl wa MO!Sasa manula ameingiaje Tena hapa wakati ni Kagera vs Yanga
Nilishangaa ile siku unanishambulia bule kisa mtazamo wangu umekuwa tofauti na Wana Lunyasi wengine...Sasa kwanzia leo ww ni mwana LUNYASI kweli nimeamini