Kagera Sugar 0-1 Young Africa SC | Ligi Kuu Ya NBC | CCM Kirumba Jijini Mwanza

Huu uwanja baada ya mechi tukavue samaki
 
Bodi ya ligi inapaswa kuangalia Hali ya uwanja ili kuruhusu mpira uchezwe,.. Hali kama hii ya uwanja unaweza pata mshindi asiyestahili..
 
Kheee.. Uwanja kama huu huwezi kuona burudani bali papatu papatu bora liende yaani..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…