Simba lunyasi
JF-Expert Member
- Sep 28, 2022
- 385
- 840
Hapa golini mwa Yanga kumezikwa dawa Kali sana... Kagera wanakosa nafasi za wazi kabisaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani kama tender ilitangazwaMkuu kwani supersport nao waliombaga kuonyesha NBC?
Hujui mkuu, figisu lake Sasa lilikuwa balaa.Mkuu kwani supersport nao waliombaga kuonyesha NBC?
Kolo hawezi kumchagua mayele huwazalilisha mnoo.Mayele amebakiza jina tu.. ukiniambia nichague kati ya Kibu D na Mayele Kwa current form, Kibu D anachukua namba
Ukiondoa Ile ngap ya hisani, Mayele amefanya nini msimu huu paka sasa?? Unajua anazidiwa magoli Hadi na feitoto??Kolo hawezi kumchagua mayele huwazalilisha mnoo.
Sio kweli, wameonyesha dakika 2Kipindi cha kwanza kinaisha bila kuonesha idadi ya dakika za nyongeza zilizoongezwa
Supersport waliweka nia kudhamini kwenye maswala ya broadcasting?Azam hii tenda waliopewa kishikaji sana ila ukweli SuperSports ndiyo walistahili maana wanamtaji na teknolojia kubwa
Supersport waliweka nia kudhamini kwenye maswala ya broadcasting?
Badala ya kutoa updates, wewe uko busy na tender ya Azam! Mkurugenzi, ndiyo kusema mihogo imekulewesha, au!!
Kama timu yako ilifungwa zaidi ya mara mbili na Mayele basi huwezi mchagua MayeleMayele amebakiza jina tu.. ukiniambia nichague kati ya Kibu D na Mayele Kwa current form, Kibu D anachukua namba
Na uwanja ungekuwa unaruhisu boli kuchezwa Kagera wangekuwa mbele Kwa goli 2 au zaidiHizi dakika 10 za Mwisho kuelekea Half Time Kagera Sukari wamekuwa Bora sana
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mi sijaona labda kama sikumakinika iSio kweli, wameonyesha dakika 2
Supersport alizidiwa dau na Azam?Mpunga ndg waliweka hela ndogo Azam akaweka hela kubwa
Mzee Niko Safarini To Mbeya just why nakuwa siko activeBadala ya kutoa updates, wewe uko busy na tender ya Azam! Mkurugenzi, ndiyo kusema mihogo imekulewesha, au!!
Kuna watu humu tuko porini tunatafita hela, ili tukatumie mjini. Hivyo tunapata updates kupitia huu uzi. Hebu fanya kama unatembelea nyota za hawa Makolo wawili; Scars na Ghazwat. Mechi za timu yao huwa wanakuwa active sana.
Inawezekana ukawa sahihiMi sijaona labda kama sikumakinika i
mechi nyingi za mkoani AzamTv huwa na camera chache nafikiri wanafanya hivi kwa makusudiAzam wamefunga Camera 1 haitoi clear replay kwenye tukio tata lililohusisha na mchezaji wa Yanga kuunawa mpira kwenye box