Kagera Sugar 0-1 Young Africa SC | Ligi Kuu Ya NBC | CCM Kirumba Jijini Mwanza

Kipindi cha kwanza kinaisha bila kuonesha idadi ya dakika za nyongeza zilizoongezwa
 
Azam hii tenda waliopewa kishikaji sana ila ukweli SuperSports ndiyo walistahili maana wanamtaji na teknolojia kubwa
Supersport waliweka nia kudhamini kwenye maswala ya broadcasting?
 
Sidhani kama tender ilitangazwa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Badala ya kutoa updates, wewe uko busy na tender ya Azam! Mkurugenzi, ndiyo kusema mihogo imekulewesha, au!!

Kuna watu humu tuko porini tunatafita hela, ili tukatumie mjini. Hivyo tunapata updates kupitia huu uzi. Hebu fanya kama unatembelea nyota za hawa Makolo wawili; Scars na Ghazwat. Mechi za timu yao huwa wanakuwa active sana.
 
Mzee Niko Safarini To Mbeya just why nakuwa siko active

Back
Top Bottom