Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Hakuna penatyKwa hizi tabia za marefa kumeza firimbi tushashuhudia yanga akienda unbeaten hata mechi 300 .hii sio sawa marefa waone aibu basi ,hapa kagera alikuwa anapata penati halali kabisa lakin refa kaona nongwa kutoa penati kwa kagera.Laiti ingekuwa kafanyiwa mayele upande wa pili kule refa angefunika tuta.
Hii ni aibu kwa ligi yetu ,mwenye haki apewe hata kama ni timu ya daraja la kati