Kagera Sugar 0-1 Young Africa SC | Ligi Kuu Ya NBC | CCM Kirumba Jijini Mwanza

Kagera Sugar 0-1 Young Africa SC | Ligi Kuu Ya NBC | CCM Kirumba Jijini Mwanza

Kwa hizi tabia za marefa kumeza firimbi tushashuhudia yanga akienda unbeaten hata mechi 300 .hii sio sawa marefa waone aibu basi ,hapa kagera alikuwa anapata penati halali kabisa lakin refa kaona nongwa kutoa penati kwa kagera.Laiti ingekuwa kafanyiwa mayele upande wa pili kule refa angefunika tuta.

Hii ni aibu kwa ligi yetu ,mwenye haki apewe hata kama ni timu ya daraja la kati
Hakuna penaty
 
Yaani hii mechi upande wa kushoto kuna swimming pool, mashambulizi yana takiwa yapitie upande wa kulia.
 
Huu upande wa chini magharibi mwa uwanja kuna maji mengi sana pasi nyingi nimeziona zikikwama eneo hilo
 
Siyo wabinafsishe vibali hivyo viwanja ni Mali ya umma, virudi kwa umma, serikali itaifishe viwanja hivi Mara moja na viwe Mali ya serikali.
Kwani CCM Kirumba sio mali ya serikali?
 
Japo uwanja mbovu ila Kagera wamepiga pasi zenye accurancy ys juu kuzidi Yanga
 
Kuna siki Nabi ili kupata matokeo itamlazimu Mayele akae bench

Kuna sababu ya kocha kuanza kumfua huyu Clement
 
Back
Top Bottom