Kagera Sugar 0-1 Young Africa SC | Ligi Kuu Ya NBC | CCM Kirumba Jijini Mwanza

Dakika 17' kipindi cha Pili

Kagera 0-1 Yanga

Mayele kakosa goli
 
Uchoyoooooooo Mayele.. Scars wangekuwa wapo mbele ya zaidi ya bao moja kama angeamua kusambaza upendo yaani..!
 
Hawakawii kumwita mchoyo. Clement alikuwa kwenye nafasi nzuri
 
70' Penatiiiiii Kagera Sugar wanapata Mkwaju wa Penalty.

Anakwenda kupiga Kuleee Erick Mwijageeee Lakini anakosa.!
 
Dakika 25' kipindi cha Pili

Kagera 0-1 Yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…