Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
Kiiza ni Yanga lialia huyo.. nilijua atakosa tu iyo penatiBadala apige luhende anapewa kilaza apige
Sio kiiza aliekosaKiiza ni Yanga lialia huyo.. nilijua atakosa tu iyo penati
Pambana na BP YakoKagera ball possession ipo juu
Sheli ya BP au unamaanisha nini kwani mafuta yamepanda Bei?
Meck Mexime ni bonge la kocha ameibadilisha sana Kagera kwa muda mchache sana tangu apewe timu.
Kawasaidie kurudishaGoli linarudi ni suala la muda tu,,,,
Nakuita Mbwa kwa utangulizi...Kagera wasipochomoa mniite[emoji240]🦺[emoji240]🦺[emoji240]🦺[emoji240]🦺 nimekaa [emoji117][emoji117][emoji117]🪑