Kagera Sugar 0-1 Young Africa SC | Ligi Kuu Ya NBC | CCM Kirumba Jijini Mwanza

Kagera Sugar 0-1 Young Africa SC | Ligi Kuu Ya NBC | CCM Kirumba Jijini Mwanza

Meck Mexime ni bonge la kocha ameibadilisha sana Kagera kwa muda mchache sana tangu apewe timu.
 
Kagera wasipochomoa mniite[emoji240]‍🦺[emoji240]‍🦺[emoji240]‍🦺[emoji240]‍🦺 nimekaa [emoji117][emoji117][emoji117]🪑
 
Dakika 30' kipondi cha Pili

Kagera 0-1 Yanga

Erick Mwijage anakosa goli
 
Baada ya hii mechi tuna hitaji siku tatu za kupumzika. Tena huu uwanja ndio unazidi kutuchosha.
 
Back
Top Bottom