Kagera Sugar: Hatuitambui ratiba ya pili wadai TFF inaipendelea Simba SC

Kagera Sugar: Hatuitambui ratiba ya pili wadai TFF inaipendelea Simba SC

hata sisi hatutambui malalamiko yao

Katika taarifa sensitive kama hii mwandishi unatumia imoj halafu unataka watu wakuzingatie?

taarifa hiyo tumeipuuza kwasababu ina elements za utani
 
Sada hivi simba ikicheza inaangaliwa na Africa mzima mzima. Lazima tuioneshe afrika na viwanja tunavyocheza, kwakweli baada ya kufurahia kucheza uwanja ukiokua mzuribnyie ndiyo mnachukia
 
Tff wapo wahuni tu pale wanashirikiana na wahuni wenzao mbumbumbu fc
 
Eh itakuwa yule mganga kasema wahakikishe mechi ipigwe kagera
 
Mikia bila tff ni wepesi kama pamba
1614625117522.png
 
Mbona timu siku hzi malalamiko yamezidi?.Simba mnyama amekua tishio aisee sasa sisi tunasema iwe Away au Home mtapigwaa tuu
 
Back
Top Bottom