SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Nyie waendekezeni tu hawa wataalam wa kulalamika mtaula wa chuya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kilaza wwPolepole mtajua kwanini yanga wanalakamika.
Mbona simple sana, suseni.Klabu ya Kagera Sugar ya mkoani kagera wanalalamika kupangiwa mechi yao dhidi ya Simba sc confederation cup kuchezwa Dsm wakati droo ya awali ilionyesha mechi hio ilipaswa kuchezwa kaitaba mkoani Kagera.
Kagera sugar washitukia janja ya TFF.
View attachment 1714674View attachment 1714675View attachment 1714676View attachment 1714677
Wanalishwa matangopori na hawa vidimbwi nao bila kujiuliza wanafakamia tu.Wasuse kama vipi.