Afu unaweza kukuta wanaolalamika wala sio Kagera sugar, bali dada zao hapo kidimbwini...Wanataka kuiga tabia ya kaka yao wa bwawani, wasuse tu.
Ha ha mmesahau mliwahamishaPolepole mtajua kwanini yanga wanalakamika
Sema Fifa manake kimataifa nako tunashinda. Mtalia sana mwaka huuMikia bila tff ni wepesi kama pamba
Tff wapo wahuni tu pale wanashirikiana na wahuni wenzao mbumbumbu fc
Tuliza mshono dada yanguMikia bila tff ni wepesi kama pamba
Basi wacopy na kupaste hiyo mpya πππ
ROPO ROPOWasuse kama vipi.
Mikia bila tff ni wepesi kama pamba
Wamerithi akili mbovu za ndugu zao Utopolo yaani full malalamiko kama changudoa aliyekopwaKagera Sugar ni wapumbavu yani badala ya kutumia ratiba ya TFF wao wanafuata ya azam tv.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Mikia bila tff ni wepesi kama pamba
Polepole mtajua kwanini yanga wanalakamika.
Hio ilikuwa droo ilikuwa liveKwahiyo ndiyo utaratibu kufuata Ratiba ya Azam badala ya TFF?