Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
Karibu kwenye Group kubwa tanzania lenye viongozi wa Simba pamoja na viongozi wa matawi tanzania nzima linaloenda kwa jina la Simba Taifa Kubwa...Hawa tuwafanyie kama coastal mkuu
Basi sema taratibu watu waasisikie mkuu [emoji2] [emoji2]Yaani wana quarter final CAF Champions league 2019 wanawaza kuondoa uteja kwa Kagera Sugar si hatari hiyo Mkuu. [emoji3][emoji3][emoji3]
Ngapi ngapi[emoji3516]Ukicheka na nyani utavuna mabua! Hawa mabwana mdogo wa Kagera Sugar wamekuwa na mazea mabaya sana na Simba SC.
Hatujasahau mwaka jana wametuaibisha mbele ya Rais sambamba na kutibua record mujarabu ya kumaliza ligi bila kufungwa.
Hatujasahau juzi kati wakatupiga mbili tukiwa kwenye kampeni ya kula viporo huko kwao Kaitaba.
Sasa kesho watataka kuleta tena mazeoea na jeshi hatari la Aussems.
Nimeongea na wachezaji wawili washkaji zangu,tumekubaliana kukataa mazoea ya kijinga. TUTAWACHAKAZA hapo kesho.
Kuna overdose tumetoea Jana kwa Coastal Union,hizo ni salamu japo tumetoea dozi kali ya Ebola kwa mtu mwenye UTI tu.
Mjiandae kisaikolojia,msije kusema hamkuambiwa. Malalamiko FC kaeni mkao wa kula kuonyesha jinsi tunavyobebwa na marefa.
Kwa kheri
Kabisa mkuu tutawapiga tu ha ha haaaNa kweli wanetuzoea Sana,
Wenzao wanatuogopa wao vimbele mbele.
Kesho lazima tumgeuze Punching Bag,
Kulwa na Dotto au pipa na mfuniko.Simba 0 v 1 KAGERA SUGAR
biashara 1 v 0 YANGA
Na wamefungwa tenaYaani wana quarter final CAF Champions league 2019 wanawaza kuondoa uteja kwa Kagera Sugar si hatari hiyo Mkuu. [emoji3][emoji3][emoji3]
Kubali nyie kwa Kagera ni Wali au bwabwa tuHawa watoto tuwapige nusu ya 8 tu zitawatosha.
Naona Mnyama kaliwa kiboga aiseeeEbu tukumbushane you game I lini
Wacha uongo wewe, usifikiri humu sote Misukule mkuu, kawadanganye Misukule wenzio hukoKila nchi yenye timu CAF tournaments basi ligi yake ilikua na viporo. Sababu ni kua CAF walibadili ratiba mashindano yaishe miezi hii sawa na mashindano ya mabara mengine kama Ulaya badala ya kuisha mwishoni mwa mwaka kama ilivyokua miaka iliyopita.
Matokeo yake ni michezo ya CAF kufanyika karibu karibu hali iliyopelekea timu hizo kukosa muda wa kucheza ligi ya nyumbani. Fanya research kwenye ligi za nchi kama Misri, SA, Tunisia, etc utaona hili.
Na pengine kwa sasa sababu timu nyingi hazipo tena CAF ndio viporo vimepungua, lakini kipindi kile cha makundi ungeangalia league tables zao ungegundua hili
Naona ni mwendo wa kirungu kimoja kimoja na badoo hadi akili iwakae sawa, mji woote kimyaaaKulwa na Dotto au pipa na mfuniko.
Nimepita msimbazi wanalamba lamba sukari tuππHahahaa. Na si ajabu Shem Kagera Sugar leo akawa Mdebweedo mbaya.
Du hii Kali aisee!Kaanike godoro. . Limelowana katerero
Hahahaaa. Usijali Mkuu ila walengwa wamesikia.Basi sema taratibu watu waasisikie mkuu [emoji2] [emoji2]
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app