Faida ya kutoingia vyumbani imeanza kuonekana.
Katachomolewa tu.
Umenitamanisha Mkuu, nitumie kwa sms.
Mechi ya leo tunashinda.
Mechi ya leo tunashinda.
Nikuapologise kwasababu ya unazi wako wa jangwani au???????
Makoye utakulaje tikiti jekundu? mikia haooj
Mechi ya leo tunashinda.
Kaa kimya wewe, mwanaume anawaoa kila mechi yule leo unajifanya unapiga kelele.
View attachment 240912
uko mbali na mashabiki wa simba? mimi nipo peke yanguUmenitamanisha Mkuu, nitumie kwa sms.
Kimoja kimerudi subiri cha pili ukakande na maji kesho
Wakati anaposti alijua wanaongoza kumbe kagoli kamechomolewa akiwa hewani. Pole zake.