Kagera Sugar vs Simba

Kagera timu sawazisha hilo gori hao simba warudi kuuza mitumba msimbazi
 
mkuu hapo shinyanga ni noma..Yanga walianza mpira wakapiga nje ndio pona yao...Ukianza mpira unautoa nje

Kuna ukweli katika hili Mkuu? Faida ya Simba kutoingia vyumbani inaendelea kuwabeba.
 
Atupele na King'wande wanasumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…