Kagera sugar vs Tabora united | NBC Premier League | Kaitaba | 11 Februari, 2025

wewe utakuwa ni gaidi mno kuna mechi zakuangalia ndugu sio hiyo sasa!
Sasa hakuna mechi za maana kama hizi
Mpira ulikua πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Binafsi napenda hizi mechi... Kagera wako vyema skuizi
Mechi zikiingia watu wa kariakoo tu zinakua z. Upande mmoja
 
Sasa hakuna mechi za maana kama hizi
Mpira ulikua πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Binafsi napenda hizi mechi... Kagera wako vyema skuizi
Mechi zikiingia watu wa kariakoo tu zinakua z. Upande mmoja
Wewe ndo wife material uko wapi nije kukuposa..?πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…