Kagera sugar vs Tabora united | NBC Premier League | Kaitaba | 11 Februari, 2025

Kagera sugar vs Tabora united | NBC Premier League | Kaitaba | 11 Februari, 2025

Hizi ni garama zinakufa bure mechi kuahirishwa kwa sababu ya umeme uwanja wenye hadhi ya taa unakoswa jenereta za kuendeshea

bora ingekua mvua
 
Sasa hakuna mechi za maana kama hizi
Mpira ulikua 🔥🔥🔥
Binafsi napenda hizi mechi... Kagera wako vyema skuizi
Mechi zikiingia watu wa kariakoo tu zinakua z. Upande mmoja
Wewe ni umeanza kupenda mpira then timu mkuu..
Tofauti na watu wengi wameaza kuzipenda Simba/Yanga ndipo wakapenda mpira na ndio maana kwao mechi zisizohusu timu zao hawana muda wa kuziangalia.
 
We Mwanzisha Uzi Mbona Kama Yule Dada Aliyempa Ahadi Mpanzu Pale Kmc Arena?
 
Wewe ni umeanza kupenda mpira then timu mkuu..
Tofauti na watu wengi wameaza kuzipenda Simba/Yanga ndipo wakapenda mpira na ndio maana kwao mechi zisizohusu timu zao hawana muda wa kuziangalia.
Aisee heri umesema mana hawa wamenishangaza et mechi hazina umuhimu aisee
 
Back
Top Bottom