Kagera Sugar waendeleza ubabe dhidi ya Simba uwanja wa Kaitaba, Wainyuka mabao 2 - 1

Simba wamekoswa goli

Kagera 2 Simba 1

dakika ya 91
 
Mbona dk za nyongeza nyingi sana?
Refa anataka simba watote zaidi?
 
Enock bwigane ni Yanga na huenda ni gasho
 
Dakika ya 95

Kagera Sugar 2 Simba 1
 
FULL TIME | Kagera 2 - 1 Simba

27' Mbaraka Yusuph (Kagera)
45' Edward Christopher (Kagera)
65' Muzamiru Yassin (Simba)

****** END OF UPDATE************
 
Full Time

Kagera Sugar 2 Simba 1

Mbaraka, Christopher, Mzamiru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…